#COVID19 Mlipuko mwingine wa Covid 19 wategemewa kuikumba China, watu milioni 65 kupata maambukizi kwa wiki

#COVID19 Mlipuko mwingine wa Covid 19 wategemewa kuikumba China, watu milioni 65 kupata maambukizi kwa wiki

Wakati uongozi wa WHO mapema mwezi huu ukiitangazia Dunia kwamba Ugonjwa wa covid 19 sio tishio tena mambo yako tofauti nchini China.

China inategemea kuukabili mlipuko mpya wa covid 19 mwezi June huku watu milion 65 kuhofiwa kupata maambukizi kwa wiki. Wataalamu wa maswala ya magonjwa ya mlipuko wakitolea ufafanuzi wanasema, kuibuka kwa vimelea vya XBB vya covid 19 vitahatarisha maisha ya watu wengi wasiopatiwa chanjo hasa wazee.

Huku maambukizi yakiendea kuzidi hivi sasa, mamlaka nchini humo zimeendelea kusisitiza watu kupata booster ama chanjo kwa mara nyingine ili kuvikabili vimelea hivyo.

Wachina wengi kwenye mitandao ya kijamii waelezea kuhofia kurejeshwa kwa "lockdown" kama utekelezaji wa "zero covid policy" na pia wahofia ubora wa chanjo hizo zinazotengezwa nchini humo kuwa hazikuwa na ubora unaokidhi.

Je, kurejea kwa wimbi kubwa la mlipuko wa covid 19 nchini china ni matokea ya sera mbovu za Afya?

Je, kuwa na "Autocratic leadership" kumechochea kupunguza kasi ya namna nzuri ya kupambana na ugonjwa huo kwa kutofata uwazi wa taarifa za kiafya na ushirikiano na mataifa mengine?

Tujadili...
Mathanzua pitia hapa...

Covid-19 is real
 
Mathanzua pitia hapa...

Covid-19 is real
Hakuna Covid.Tell me why you believe it is real,ukishaniambia nitakuambia Scientifically why it is not real.Usilete udaku,lete facts which can be proved by scientific reasoning and research.

It is funny that you people believe in stories which you yourself do not have knowledge of and cannot prove.Let me tell you this,the World system is built on lies,and depends on lies for its' success.This fearmongering rhetoric is just another attempt to perpetuate lies as a weapon against humanity.Wake up guys.Infact wewe by spreading this lies,you are helping them to win the battle against humanity.Remember that to them fear is a weapon.

Mwisho,I find it queer that there are people who still believe there is Covid even after all circumstances and facts on the ground have proven repeatedly that Covid is fake.I do not know how much it will take for you people to wake up.
 
Mkuu wewe ni me au ke?
Whether male or female is not important,we want scientific facts.Kumbuka some of us are scientists,tena nguli.Mtu ukileta kitu tena scientific,bring scientific facts alongside it,sio empty rhetoric.Sio kila mtu JF ni mjinga,and can believe anything.
 
Whether male or female is not important,we want scientific facts.Kumbuka kwamba sio udaku,some of us are scientists,tena nguli.Mtu ukileta kitu tena scientific,bring scientific facts with it,sio empty rhetoric,sio kila mtu JF ni mjinga,and can believe anything.
sasa wale walokua wanawekewa oxygen wengine wanabanwa vifua wanakufa na hata sie wengine tulipata wimbi la kukuhoa kusiko kawaida ile ni nini?
 
Hakuna Covid.Tell me why you believe,it is real,ukishaniambia nitakuambia Scientifically why it is not real.Usilete udaku,lete facts which can be proved by scientific reasoning and research.

It is funny that you people believe in stories which you yourself do not have knowledge of and cannot prove.Let me tell you this,the World system is built on lies,and depends on lies for its' success.This fearmongering rhetoric is just another attempt to perpetuate lies as a weapon against humanity.Wake up guys.Infact wewe by spreading this lies,you are helping them to win the battle against humanity.Remember that to them fear is a weapon.

Mwisho,I find it queer that there are people who still believe there is Covid even after all circumstances and facts on the ground have proven repeatedly shown that Covid is fake.I do not know how much it will take for you people to wake up.
Denialism is real. Wewe muons mtaalam wa afya ya akili ASAP. Kumbuka kuna wenzio wanaamini HIV is a hoax mpaka leo hii ila watu wanapukutik na kufa kila siku mahospitalini
 
sasa wale walokua wanawekewa oxygen wengine wanabanwa vifua wanakufa na hata sie wengine tulipata wimbi la kukuhoa kusiko kawaida ile ni nini?
Tumeshaeleza sana hapa.Anyway labda nikuulize swali,hilo tatizo limeenda wapi all of a sudden,mbona Malaria bado ipo,Typhoid bado ipo?Simple answer:air pollution ndiyo iliyosumbua watu,hasa kwa kuwa immune systems zetu zimeshuka sana,so if you are weak you succumb.Infact ile ilikuwa biashara na mauaji: pollute the air for some time,people cough and the elderly die and in hospitals you put mechanisms for more killing kama the misuse of mechanical ventilation.This creates the appearance that COVID is exceptionally deadly, which in turn helps to promote acceptance of the experimental COVID shots that are now a leading cause of frequent sickness, chronic disability and excess deaths.
Unatumia pia dawa sumu kama Remdesivir watu wanakufa
and you say there is Covid.Halafu unajifanya kuna Vaccine,wajinga wanakubali wanakuwa jabbed,you make money while you also kill them.Look👇 at what is happening in Europe now,and I believe this is happening around the World.
Infact nia ya matangazo mengi during Covid ilikuwa fear mongering ili kutisha watu wakubali the so called Covid Vaccines,which are not actually vaccines,but Bioweapons.

Poleni sana mnaodanganywa na kudanganyika,na bado,mtadanganywa sana.
 
Denialism is real. Wewe muons mtaalam wa afya ya akili ASAP. Kumbuka kuna wenzio wanaamini HIV is a hoax mpaka leo hii ila watu wanapukutik na kufa kila siku mahospitalini
Ni mjinga tu anayeamini kitu cha kuambiwa.Halafu naomba Ikumbukwe kwamba zipo sababu nyingi za watu kufa kwa kitu kichofanana na hicho kinachoitwa HIV-Aids,sio lazima iwe as a result of the so called HIV- Aids Virus.Infact HIV-Aids shows all the symptoms of poisoning,not a pathogenic disease.So it could be food poisoning or medication poisoning.

And how about if it was some contamination in the Polio Vaccine or even Small Pox vaccine or even Microplastic poisoning?!Kwa nini mnakuwa so shortsighted and easy to cheat?Do you know that Cancer is a result of the SV40 Virus contamination in the first Polio Vaccine, tena deliberate ?Na mnajua Ebola was caused by Ebola Virus contamination in the Polio Vaccine,also deliberate?Jamani amkeni,hawa watu ni waongo sana,moneymongers and Eugenisists.Everything they do wanawaza money,money,money and kill,kill,kill and control us and our resources 100%.Remember also that they want to reduce the World population to a mere 500 million Zombies and especially Africans.

This👇 is why they hate us,believe it or not,we are a superior race.

Ni mjinga tu anayeamini kitu cha kuambiwa.Halafu naomba Ikumbukwe kwamba zipo sababu nyingi za watu kufa kwa Hicho kinachoitwa HIV-Aids,sio lazima iwe as a result of something called HIV- Aids Virus.Infact HIV-Aids shows all the symptoms of poisoning,not a pathogen.So it could be food poisoning or medication poisoning.

And how about if it was some contamination in the Polio Vaccine or Small Pox vaccine or even microplastic poisoning!Do you know that Cancer is a Viral Malignant as a result of contamination of the first Polio Vaccine by the SV40 Virus?Jamani amkeni,Hawa watu ni waongo sana,everything they do wanawaza money,money,money and kill,kill,kill.Remember they want to control us and our resources 100%.
Wewe ni mjinga uliyekuwa brainwashed Kwahiyo sitakujibu tena maana ni waste of time
 
Huyo mathanzua ni psycho aliyepo kwenye denialism
Nimesema mnipe facts zinazo prove kwamba Covid ipo mmeshindwa,sasa anaye deny ukweli ni nani,si ninyi?Mimi nina all Scientific facts to prove that Covid doesn't exist,ninyi mnang'ang'ania udaku,funny.Let me repeat this,mtu yeyote anayekubali hearsay as facts,ni mjinga.
 
Wakati uongozi wa WHO mapema mwezi huu ukiitangazia Dunia kwamba Ugonjwa wa covid 19 sio tishio tena mambo yako tofauti nchini China.

China inategemea kuukabili mlipuko mpya wa covid 19 mwezi June huku watu milion 65 kuhofiwa kupata maambukizi kwa wiki. Wataalamu wa maswala ya magonjwa ya mlipuko wakitolea ufafanuzi wanasema, kuibuka kwa vimelea vya XBB vya covid 19 vitahatarisha maisha ya watu wengi wasiopatiwa chanjo hasa wazee.

Huku maambukizi yakiendea kuzidi hivi sasa, mamlaka nchini humo zimeendelea kusisitiza watu kupata booster ama chanjo kwa mara nyingine ili kuvikabili vimelea hivyo.

Wachina wengi kwenye mitandao ya kijamii waelezea kuhofia kurejeshwa kwa "lockdown" kama utekelezaji wa "zero covid policy" na pia wahofia ubora wa chanjo hizo zinazotengezwa nchini humo kuwa hazikuwa na ubora unaokidhi.

Je, kurejea kwa wimbi kubwa la mlipuko wa covid 19 nchini china ni matokea ya sera mbovu za Afya?

Je, kuwa na "Autocratic leadership" kumechochea kupunguza kasi ya namna nzuri ya kupambana na ugonjwa huo kwa kutofata uwazi wa taarifa za kiafya na ushirikiano na mataifa mengine?

Tujadili...
Mtauana wenyewe na hayo magonjwa yenu
 
Back
Top Bottom