Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Kwa nini ulitaka kujua kama mimi ni me au ke,inafikirisha ujue.......!Sawa, I only asked about your gender.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini ulitaka kujua kama mimi ni me au ke,inafikirisha ujue.......!Sawa, I only asked about your gender.
Mtu mwenye virusi vya ukimwi kama hajijui anaishi muda mrefu na afya nzuri hata bila matumizi ya dawa ikiwa sio "mzururaji"kuliko anaejijua na anatumia dawa..Wakati uongozi wa WHO mapema mwezi huu ukiitangazia Dunia kwamba Ugonjwa wa covid 19 sio tishio tena mambo yako tofauti nchini China.
China inategemea kuukabili mlipuko mpya wa covid 19 mwezi June huku watu milion 65 kuhofiwa kupata maambukizi kwa wiki. Wataalamu wa maswala ya magonjwa ya mlipuko wakitolea ufafanuzi wanasema, kuibuka kwa vimelea vya XBB vya covid 19 vitahatarisha maisha ya watu wengi wasiopatiwa chanjo hasa wazee.
Huku maambukizi yakiendea kuzidi hivi sasa, mamlaka nchini humo zimeendelea kusisitiza watu kupata booster ama chanjo kwa mara nyingine ili kuvikabili vimelea hivyo.
Wachina wengi kwenye mitandao ya kijamii waelezea kuhofia kurejeshwa kwa "lockdown" kama utekelezaji wa "zero covid policy" na pia wahofia ubora wa chanjo hizo zinazotengezwa nchini humo kuwa hazikuwa na ubora unaokidhi.
Je, kurejea kwa wimbi kubwa la mlipuko wa covid 19 nchini china ni matokea ya sera mbovu za Afya?
Je, kuwa na "Autocratic leadership" kumechochea kupunguza kasi ya namna nzuri ya kupambana na ugonjwa huo kwa kutofata uwazi wa taarifa za kiafya na ushirikiano na mataifa mengine?
Tujadili...
Usambazaji hofu mzungu anauweza...hadi kwenye moyo wako anauwezo wa kukupush ukahofia kukojoa usiku akikuaminisha utapoteza nguvu za kiume..Ingia weibo ww, wachina wenyewe wanalalamika mzee sio poa,
Ukitaka taarifa sahihi za yanayoendelea China ingia kwenye mitandao yao ya kijamii
Umezungumza vitu gani? Mbona havieleweki?Usambazaji hofu mzungu anauweza...hadi kwenye moyo wako anauwezo wa kukupush ukahofia kukojoa usiku akikuaminisha utapoteza nguvu za kiume..
Wewe ndiye umuone mtaalamu wa akili unayekubali vitu vya kuambiwa.Anybody who believes anything which he/she cannot prove ni mjinga.Denialism is real. Wewe muons mtaalam wa afya ya akili ASAP. Kumbuka kuna wenzio wanaamini HIV is a hoax mpaka leo hii ila watu wanapukutik na kufa kila siku mahospitalini
Huo mlipuko bado au tayarUmezungumza vitu gani? Mbona havieleweki?
Covid 19 imeanzia China na kusambaa kote Duniani, mzungu ameingiaje hapa?
Sasahivi rate ya maambukizi ni watu milioni 40 kwa wikiHuo mlipuko bado au tayar
Km unachokisema ni sahihiSasahivi rate ya maambukizi ni watu milioni 40 kwa wiki
Can u prove kwamba kilichoua watu wakati ule sio COVID ila ni kitu kingine? Can u prove huo ujinga wako mwingine wa conspiracy theories unazojaribu kupropagate?Wewe ndiye umuone mtaalamu wa akili unayekubali vitu vya kuambiwa.Anybody who believes anything which he/she cannot prove ni mjinga.
Nasema hivii,Covid is a hoax 100% because it does not follow scientific principles of Microbiology. I believe you are not a Scientist,that is why you believe scientific hoaxes,I do not blame you for that.Can u prove kwamba kilichoua watu wakati ule sio COVID ila ni kitu kingine? Can u prove huo ujinga wako mwingine wa conspiracy theories unazojaribu kupropagate?
Sawasawa mkuu, kama vile HIV ilivyoanzia misitu ya Congo mkuu...si ndio? Ni vitu usivyotaka kuelewa mkuu.Umezungumza vitu gani? Mbona havieleweki?
Covid 19 imeanzia China na kusambaa kote Duniani, mzungu ameingiaje hapa?
CCP inaogopa maandamano ya revolution yasitokee kama mwanzo, maandamano yalisababishwa na forced lockdownKm unachokisema ni sahihi
Bila shaka miji ingefungwa
Na sidhan km unaweza weka chanzo cha taarifa yako
Hakuna shida mkuu kama nimekukwaza nisamehe bureKwa nini ulitaka kujua kama mimi ni me au ke,inafikirisha ujue.......!
Nimekusamehe bure,ila naamini ipo sababu kwa nini ulitaka kujua mimi ni me au ke.🆗Hakuna shida mkuu kama nimekukwaza nisamehe bure
Pamoja mkuuNimekusamehe bure,ila naamini ipo sababu kwa nini ulitaka kujua mimi ni me au ke.[emoji678]
We jamaa, mbona hauna hoja? Kama hoja yako ndio hiyo basi covid 19 imeanzia wuhan China, kumbuka wuhan Kuna maabara ya utafiti wa virusi tofauti tofauti ikiwemo covid 19....Sawasawa mkuu, kama vile HIV ilivyoanzia misitu ya Congo mkuu...si ndio? Ni vitu usivyotaka kuelewa mkuu.
(Scientists believe that HIV originally came from a virus particular to chimpanzees in West Africa during the 1930s, and originally transmitted to humans through the transfer of blood through hunting.)
Unaowatetea ni "malaika" wako wasio na dhambi...ila sisi waafrika na wachina ni wadhambi wa Viruses...
Labda wewe hujafuatilia mkuu, majibu walishatoa wachinaWe jamaa, mbona hauna hoja? Kama hoja yako ndio hiyo basi covid 19 imeanzia wuhan China, kumbuka wuhan Kuna maabara ya utafiti wa virusi tofauti tofauti ikiwemo covid 19....
Mzungu anaingiaje hapo? Mpaka Leo hii China anabanwa atoe maelezo asili ya covid 19 yupo kimya na hana majibu yoyote.