#COVID19 Mlipuko mwingine wa Covid 19 wategemewa kuikumba China, watu milioni 65 kupata maambukizi kwa wiki

#COVID19 Mlipuko mwingine wa Covid 19 wategemewa kuikumba China, watu milioni 65 kupata maambukizi kwa wiki

Wewe ni mjinga uliyekuwa brainwashed Kwahiyo sitakujibu tena maana ni waste of time
Nimekuwa brainwashed na nani?Jamani,asiye na facts si ndiye brainwashed,ni ajabue.Mimi nina scientific facts,I do not base my belief on heresay,so sijakuwa brainwashed.
 
Hakuna Covid.Tell me why you believe,it is real,ukishaniambia nitakuambia Scientifically why it is not real.Usilete udaku,lete facts which can be proved by scientific reasoning and research.

It is funny that you people believe in stories which you yourself do not have knowledge of and cannot prove.Let me tell you this,the World system is built on lies,and depends on lies for its' success.This fearmongering rhetoric is just another attempt to perpetuate lies as a weapon against humanity.Wake up guys.Infact wewe by spreading this lies,you are helping them to win the battle against humanity.Remember that to them fear is a weapon.

Mwisho,I find it queer that there are people who still believe there is Covid even after all circumstances and facts on the ground have proven repeatedly shown that Covid is fake.I do not know how much it will take for you people to wake up.
Hao wanaokufa na kudondoka barabarani wanakufa kwa sababu zipi? Au wamelipwa kufa?
 
Nimekuwa brainwashed na nani?Jamani,asiye na facts so ndiye brainwashed,Ni ajabue.Mimi nina scientific facts,I do not base my belief on heresay.
Watu wanaamini Covid sababu wanaona matokeo kwa macho sio kwa sababu hawajui sayansi.

Watu wamezika wapendwa wao kwa kubanwa kifua, kama unasema hakuna covid, sema kuna nini kinacholeta hiyo hali.

Usiwe kama wale wanaosema hakuna MUNGU halafu hawana jibu la uumbaji wa ulimwengu umetokana na nini.
 
Watu wanaamini Covid sababu wanaona matokeo kwa macho sio kwa sababu hawajui sayansi.

Watu wamezika wapendwa wao kwa kubanwa kifua, kama unasema hakuna covid, sema kuna nini kinacholeta hiyo hali.

Usiwe kama wale wanaosema hakuna MUNGU halafu hawana jibu la uumbaji wa ulimwengu umetokana na nini.
Nimeshasema hapa,kuzika sana au respiratory illnesses sio lazima iwe kwa sababu ya hicho kinachoitwa Covid,amkeni,there are so many other possibilities.Tutasema mpaka lini?

Anyway labda nikuulize swali, tatizo la Covid limeenda wapi all of a sudden,mbona Malaria bado ipo,Typhoid bado ipo?Simple answer:air pollution, tena makusudi,ndiyo iliyosumbua watu,hasa kwa kuwa immune systems zetu zimeshuka sana,so if you are weak you succumb easily.Infact ile ilikuwa biashara na mauaji: you pollute the air for some time,people cough and the elderly die and in hospitals you put mechanisms for more killing like respirators and you say there is Covid.Mbaya zaidi unaweka faulty reporting mechanisms and you tell all hospitals to report all diseases and deaths as Covid.Halafu unajifanya kuna Vaccine,wajinga wanakubali wanakuwa jabbed,you make money while you also kill them.

Infact nia ya matangazo mengi during Covid ilikuwa fear mongering,ili kutisha watu wakubali the so called Covid Vaccines,which are not actually vaccines,but "bioweapons." Poleni sana,mnadanganywa sana na mtadanganyana sana,na bado.
 
Wakati uongozi wa WHO mapema mwezi huu ukiitangazia Dunia kwamba Ugonjwa wa covid 19 sio tishio tena mambo yako tofauti nchini China.

China inategemea kuukabili mlipuko mpya wa covid 19 mwezi June huku watu milion 65 kuhofiwa kupata maambukizi kwa wiki. Wataalamu wa maswala ya magonjwa ya mlipuko wakitolea ufafanuzi wanasema, kuibuka kwa vimelea vya XBB vya covid 19 vitahatarisha maisha ya watu wengi wasiopatiwa chanjo hasa wazee.

Huku maambukizi yakiendea kuzidi hivi sasa, mamlaka nchini humo zimeendelea kusisitiza watu kupata booster ama chanjo kwa mara nyingine ili kuvikabili vimelea hivyo.

Wachina wengi kwenye mitandao ya kijamii waelezea kuhofia kurejeshwa kwa "lockdown" kama utekelezaji wa "zero covid policy" na pia wahofia ubora wa chanjo hizo zinazotengezwa nchini humo kuwa hazikuwa na ubora unaokidhi.

Je, kurejea kwa wimbi kubwa la mlipuko wa covid 19 nchini china ni matokea ya sera mbovu za Afya?

Je, kuwa na "Autocratic leadership" kumechochea kupunguza kasi ya namna nzuri ya kupambana na ugonjwa huo kwa kutofata uwazi wa taarifa za kiafya na ushirikiano na mataifa mengine?

Tujadili...
Anachokitafuta china atakipata so soon. Wazungu hawajawahi shindwa ni suala la muda tu.
 
Siku Moja Moja uwe unaleta habari nzuri kuhusu China, Jambo lingine COVID ni myth tu. Hakuna huo ugonjwa.
 
kufadhili magenge yanayosamba madawa hatari ya kulevya ie fentanyl, rushwa, kuingilia na kuharibu selikari za nchi maskini mfano Solomon islands, n.k
Wanaofadhili magenge huko Congo, Afrika ya kati, Libya, Afghanistan, Sudan, Msumbiji, nawao unachuki nao hivyo hivyo kama viongozi wa CCP?.
 
Wanaofadhili magenge huko Congo, Afrika ya kati, Libya, Afghanistan, Sudan, Msumbiji, nawao unachuki nao hivyo hivyo kama viongozi wa CCP?.
Interest ya CCP ni kuitawala Dunia, they are craving for superiority of this world.
They have bad intentions over this world.
 
Back
Top Bottom