George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Sioni dalili ya vita kusitishwa mkongwe, walichokifanya Yemen jana na majibu ya Israel dhidi ya Yemen siku ya leo, nadhani tunapokwenda ni pabaya zaidi. Vita vinaenda kukuzwa zaidi hapo mashariki ya kati.Vita visitishwe, misaada ya kibinadamu ipelekwe kwa wahitaji na ujenzi mpya wa Gaza ufanyike.
Majibu yameanza myahudi mtu mbadi sanafungua aljazeera au nenda twitter uona wanavyohangaika kukimbiakimbia sasaivi huko yemen panawaka moto tayari.
Hata Octoba 7 alijipiga pin mwenyewe?hayo ni mambo israel mwenyewe anayafanya ili kuuhalalishia ulimwengu kwa kile wanachoendelea kukifanya. sawa na mimi kurusha bomb kwenye uwani wangu nikasema wewe ndio umerusha ili nipate uhalali wa kuendelea kukuchapa. mnapigwa changa la macho hivihivi.
hatushabikii watu kuuawa, ila baada ya ile drone, kipigo kinachoendelea huko sasaivi si cha kawaida. tuombe Mungu wasio na hatia wasiuawe kama gaza.Hata Octoba 7 alijipiga pin mwenyewe?
Kipondo cha hezbollah huko Kaskazini mpaka mazayuni wanaikimbia miji yao, wanajipiga wenyewe?
Meli zao za mizigo zinalimwa baharini, wanazipiga wenyewe?
Huo uhalali anapewa na nani, shetani?
1. Kwamba Russia anampa silaha Houthi rebels -hiyo ni biashara iwe ni cash au credit.Russia anampa silaha Houthi rebels... unalijua hilo?
Kingine Al Assad messed with Israel mbona alishinda vita?
Hao Israel wanaonea vidagaa tu ila wakipata a proper match wanakimbia kama Syria.
Mbona babako shoga kwanini usimkemee?Kijana, hata upigwe ngumi 100 na wapiganaji wa magharibi wote ma mashoga zao, ukirusha moja ni sifa kubwa sana.
Kama unabisha muulize mandonga.
Tayari, tena Yemen kabisa. Wamelipiza shambulizi lao la jana.Ngoja na wao waonje utamu kila siku Gaza tu alaa
Amka kumekucha muda wa kuota ndoto ka hizo umekwisha!Wayemen wanasema msihangaike sana kutafuta imetokea wapi, ni wao walioirusha hiyo, wanasema huo ni mwanzo tu, "tuna zuwezo wa kupiga popote israel".
Huwa sikisii.Mbona babako shoga kwanini usimkemee?
Hilo lisikustuwe kijana, wa kuamka ni wewe. Wapalestina wameamka, mazayuni hapakaliki huko Palestina, wanatandikwa kugtoka kila upande, mdogo mdogo.Amka kumekucha muda wa kuota ndoto ka hizo umekwisha!
Kwani hujui Al Assad alikua anatandikwa na ndege vita za Israel almost kila siku?. Bila urusi unadhani Assad angetoboa? Means Israel are not invicible wakikutana na wababe wenzao. So sio kweli kila anayemgusa Israel ananyooshwaga.Al Assad alimshinda Israel kivita? Hilo silijui na wala siliamini.
Ooh kumbe Israel na marekani zinaweza muuzia silaha hata Iran maadam ni biashara tu??Kwamba Russia anampa silaha Houthi rebels -hiyo ni biashara iwe ni cash au credit.
Ndio zinaweza. Biashara haichagui mteja.Kwani hujui Al Assad alikua anatandikwa na ndege vita za Israel almost kila siku?. Bila urusi unadhani Assad angetoboa? Means Israel are not invicible wakikutana na wababe wenzao. So sio kweli kila anayemgusa Israel ananyooshwaga.
Ooh kumbe Israel na marekani zinaweza muuzia silaha hata Iran maadam ni biashara tu??