George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Sioni dalili ya vita kusitishwa mkongwe, walichokifanya Yemen jana na majibu ya Israel dhidi ya Yemen siku ya leo, nadhani tunapokwenda ni pabaya zaidi. Vita vinaenda kukuzwa zaidi hapo mashariki ya kati.Vita visitishwe, misaada ya kibinadamu ipelekwe kwa wahitaji na ujenzi mpya wa Gaza ufanyike.