Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo.

Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na kuripoti visa vipya 5 vya ugonjwa wa COVID 19 huku watatu kati yao wakisafiri kutokea Tanzania. Hatujui watu hao pengine walisafiri kutokea wapi? Kwa kutumia usafiri gani? Walipitia mpaka upi? Wenye dhamana wapo kimya?

Ni aibu kubwa kuwa sisi hapa nchini tunapima watu na kufuatilia waathirika kwa kujivuta sana huku ikiwa ni kama tunalazimishwa kufanya hivyo. Aidha kama nchi tumeonyesha uzembe wa kukusudia kupambana na janga hili. Kuanzia kauli ya Rais mwenyewe, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam na watu wengine zinaiacha Tanzania kama nchi ya mzaha mzaha kwenye hili.

Ni lazima kama nchi na baadhi yetu tunaoelewa mambo tukiri kuwa serikali ya awamu ya tano imekuwa haijali pale linapotokea janga sehemu fulani ndani ha nchi. Hili nalo ni pigo kubwa na la fedheha kwa watanzania hasa tukitazama namna ambavyo serikali zilizopita zimekuwa zikikabiliana na majanga. Hivyo ni lazima mtu mmoja mmoja kwenye jamii kiliangalia hili kwa umakini mkubwa huku tukijikumbusha kuwa linapotokea janga (huko nyuma) watu tunaachwa tujipambanie kivyetu. Akili kumkichwa, ukizembea umeachwa!

Nalazimika kuandika haya baada pia ya kufuatilia yanayotokea Guangzhou China baada ya kukutana na kisa hiki cha mwana Jf aishiye huko.
Screenshot_20200410-072806_Samsung Internet.jpg

Haya yanaanza baada ya China kugundua kuwa imported cases za COVID 19 kwa sasa zinatokea Afrika. Watu wataanza kuangalia nani anayezembea na kupeleka maambukizi kwa wenzao. Wakianza hivyo baada ya hasira za kutokana na kushindwa kufanya mambo ya msingi kwa kufungiwa, aidha kupoteza ndugu na marafiki basi tutajikuta tukikabiliwa na changamoto ya kubaguliwa. Lazima kama nchi tuonyeshe mshikamano na wenzetu na kuonyesha kujali juu ya janga hili.
 
TATIZO la Tanzania kumekuwa na MILUZI mingi kutoka Kwa viongozi wetu wa kisiasa ndiyo maana mbwa(WANANCHI) wanapotea Kwa kutojua yupi wa kumsikiliza,Leo atakuja MAKONDA na ushauri wake na kesho atakuja ummy mwalimu, waziri Mkuu na msemaji Mkuu wa serikali na kauli zao Kwa style hiyo usitegemee kupata data sahihi.

Wagonjwa bado ni wengi jamani na hiyo yote imesababishwa na wanasiasa
 
Hivii umemsoma mleta mada ukamuelewa?.Yeye amesema wanowekwa caranteen ni waafrica,wewe unazungumzia Watanzania,yaani kasoro za viongozi wako zinawahusu na waafrica wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia uzembe upo. Kinachosemwa kwa mdomo na manahodha wetu wanaoongoza vita hii ni tofauti kabisa na matendo!!

Hebu cheki hii;

1. MTU anashuka na ndege uwanja wa JNIA - DSM akitokea nje ya nchi, anapita bila shida kwenye check up zote, anaingia mitaani na kusafiri hadi Mwanza kwa barabara. Three days later anafika Mwanza, anapimwa na kugundulika ni COVID-19 positive...!!

Huyu amewapumulia hewa yake yq ndani yenye virusi wangapi on his way?

TAMKO LA SERIKALI LILIKUWA:
Wote wanaoingia nchini toka nje watawekwa quarantine kwa siku 14 na baadaye wakipimwa na kuthibitika ni salama wataruhusiwa kuingia mitaani na kuendelea na shughuli zao

UTEKELEZAJI?
.......Kwa ushahidi wa mtu huyu, kwa hakika ni ZERO na una mashaka makubwa!
.......I am convinced kuwa ndani ya serikali kuna mawakala (AGENTS) waliopewa jukumu maalumu kuhakikisha ugonjwa huu unasambaa kwa Watanzania wore!!

2. Watanzania wa3 kuingia Kenya na walipopimwa wakagundulika kuwa ni COVID-19 positive...

......kama ulivyosema haijulikani wametokea mpaka upi na kisha kuingia Kenya; je, ni Rombo - Kilimanjaro? Sirari - Tarime - Mara? Arusha kule.....??

.....the big question ni hili; hawa watu wa3 wote wakiwa wagonjwa wametokea wapi? Je, ni wale miongoni mwa 25 walio ktk quarantine wametoroka? Ni nini kusudi lao kuingia nchi nyingine wakiwa wagonjwa? Huku walikotoka "wamewapulia" wangapi na kuwaambukiza?

.....all in all, we as a country, tumefunuliwa na wenzetu wa Kenya kuwa lipo Tatizo nchini mwetu ktk kushughulikia tatizo hili!!

IPO shida mahali. Kuna mambo serikali haisemi. Likely situation ni worse than we are told....!!
 
Waliogundulika Kenya si watz ila ni wakenya wenye history ya kupita Tz , hujui walipita tar ngapi, Tz sehemu gani , kwa muda gani? Inawezekana walikuwa transit tu hapo Zenji au JNIA wakaambukizana wenyewe, spread facts not fear.
 
Mleta mada umeanza kwa kuzungumzia ukaidi wa viongozi wetu kuhusu kupambama na Corona, then ukaendelea mbele kuonesha kwamba hata wakenya wanatulaumu sisi kwa watu wetu kupeleka maambukizi kwao (Kenya) which is true.

Lakini kwenye hicho kiambatanisho ulichoweka kinaonesha waafrika wakiwekwa lockdown China wanalalamika mbona weupe hawawekwi, kuonesha kuna uonevu, kitu ambacho sio sahihi, na kinapingana na maelezo yako kule juu.

Wanastahili kuwekwa katantini kutokana na ukaidi wa viongozi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TATIZO la Tanzania kumekuwa na MILUZI mingi kutoka Kwa viongozi wetu wa kisiasa ndiyo maana mbwa(WANANCHI) wanapotea Kwa kutojua yupi wa kumsikiliza,Leo atakuja MAKONDA na ushauri wake na kesho atakuja ummy mwalimu, waziri Mkuu na msemaji Mkuu wa serikali na kauli zao Kwa style hiyo usitegemee kupata data sahihi.

Wagonjwa bado ni wengi jamani na hiyo yote imesababishwa na wanasiasa
Ongezea pia ,kiprotocol Makonda anacheo kikubwa kuliko Ummy. Kwahiyo wananchi wanamsikiliza Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliogundulika Kenya si watz ila ni wakenya wenye history ya kupita Tz , hujui walipita tar ngapi, Tz sehemu gani , kwa muda gani? Inawezekana walikuwa transit tu hapo Zenji au JNIA wakaambukizana wenyewe, spread facts not fear.

Iwe ni Watanzania ama Wakenya, siyo ishu hapa....

Ishu ni kuwa imethibitika wametokea nchini kwetu Tanzania wakiwa na maambukizi...

Hata kama ni Wakenya, kama walikuwa Tanzania kwanini hawakuwa quarantined?

Ninachokiona ktk statement yako, ni kama vile unaiambia serikali ianzishe vita ya malumbano na Kenya kwa kigezo cha uraia wa watu hao...

Ikifanya hivi, itathibitika wazi sasa kuwa, kumbe sisi Tanzania tuna-politicize janga hili....

Mimi nafikiri tupokee ujumbe huu kuwa, kuna mahali tunakosea na tuzibe kila mwanya wa maambukizi inapowezekana...!!
 
Umethibitisha Vipi wakati hujui wametoka Tz lini, kwa njia gani ? Na kwa nini isiwe maambukizi wamepata Kenya huko huko kwa kuwa Kenya imeshathibitika tayari kumechafuka zaidi.
SPREAD FACTS NOT FEAR.
 
Waliogundulika Kenya si watz ila ni wakenya wenye history ya kupita Tz , hujui walipita tar ngapi, Tz sehemu gani , kwa muda gani? Inawezekana walikuwa transit tu hapo Zenji au JNIA wakaambukizana wenyewe, spread facts not fear.
Walipitia hewani Hadi Kenya bila kutengamana na Watanzania? Don't be stupid.
 
nchi za Africa kuanzia Ivory coast, ghana, Kenya, Rwanda, etc wametoa Bail out kwa makampuni na wananchi. Janga la corona linaumiza afya na uchumi wa wananchi. Nchi zinginezo Africa zinatoa unafuu wa kodi mbalimbali, na kugawa chakula kwa wananchi masikini. Tanzania ni kisiwa, ni tofauti. Serikali inaomba wananchi bailout..!!! Mahokaa Yaani Serikali ya Tanzania inaomba wananchi msaada.

Lingine la kushangaza: Mawaziri wa Tanzania, maofisa wa ngazi za juu, sio wazalendo hata kidogo. Mpaka sasa sijasikia kuwa wamejitolea nusu mshahara ili kusaidia katika janga la Corona. Uzalendo wao uko wapi? Ona Kenya, Uganda, Rwanda na kwingine. Spika Ndugai hajatoa mwongozo, wabunge wakatwe shs ngapi...

Haya, basi, enendeni kule Twitter mkapambane na Waziri wa Majoka na Chatu...na kujibu hoja za CAG ...

Kama una povu, ruksa.
 
Je kiburi cha baadhi ya wenye mamlaka wakati huu kinatokana na nini (Mungu, uchumi imara, teknolojia, kutojitambua na kutambua, uchawi)???
Kauli za baadhi ya viongozi unaweza kuhisi wamechanganyikiwa au wapo sayari ya Mars.
 
Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo.

Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na kuripoti visa vipya 5 vya ugonjwa wa COVID 19 huku watatu kati yao wakisafiri kutokea Tanzania. Hatujui watu hao pengine walisafiri kutokea wapi? Kwa kutumia usafiri gani? Walipitia mpaka upi? Wenye dhamana wapo kimya?

Ni aibu kubwa kuwa sisi hapa nchini tunapima watu na kufuatilia waathirika kwa kujivuta sana huku ikiwa ni kama tunalazimishwa kufanya hivyo. Aidha kama nchi tumeonyesha uzembe wa kukusudia kupambana na janga hili. Kuanzia kauli ya Rais mwenyewe, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam na watu wengine zinaiacha Tanzania kama nchi ya mzaha mzaha kwenye hili.

Ni lazima kama nchi na baadhi yetu tunaoelewa mambo tukiri kuwa serikali ya awamu ya tano imekuwa haijali pale linapotokea janga sehemu fulani ndani ha nchi. Hili nalo ni pigo kubwa na la fedheha kwa watanzania hasa tukitazama namna ambavyo serikali zilizopita zimekuwa zikikabiliana na majanga. Hivyo ni lazima mtu mmoja mmoja kwenye jamii kiliangalia hili kwa umakini mkubwa huku tukijikumbusha kuwa linapotokea janga (huko nyuma) watu tunaachwa tujipambanie kivyetu. Akili kumkichwa, ukizembea umeachwa!

Nalazimika kuandika haya baada pia ya kufuatilia yanayotokea Guangzhou China baada ya kukutana na kisa hiki cha mwana Jf aishiye huko.
View attachment 1414678

Haya yanaanza baada ya China kugundua kuwa imported cases za COVID 19 kwa sasa zinatokea Afrika. Watu wataanza kuangalia nani anayezembea na kupeleka maambukizi kwa wenzao. Wakianza hivyo baada ya hasira za kutokana na kushindwa kufanya mambo ya msingi kwa kufungiwa, aidha kupoteza ndugu na marafiki basi tutajikuta tukikabiliwa na changamoto ya kubaguliwa. Lazima kama nchi tuonyeshe mshikamano na wenzetu na kuonyesha kujali juu ya janga hili.
Bravoo...
 
Naona unahangaika kweli kila baada ya muda mfupi unakuja na mada ya corona kuonyesha Tanzania hatufanyi vizuri katika kupambana na corona. Hivi kwenye ukoo wenu wameambukizwa wangapi? Na wamekufa wangapi? Au kinga za ukoo wenu ziko chini sana?

Ukinijibu maswali yangu hayo hapo juu nitakusaidia ama nikuelekeze tiba ya ugonjwa wa corona au kinga yake. Karibu niko hapa Mbezi napata bia mbili nikalale. Hapa Kazi Tu!!
 
Je kiburi cha baadhi ya wenye mamlaka wakati huu kinatokana na nini (Mungu, uchumi imara, teknolojia, kutojitambua na kutambua, uchawi)???
Kauli za baadhi ya viongozi unaweza kuhisi wamechanganyikiwa au wapo sayari ya Mars.
Kwani umeshindwa kujifungia nyumbani kwenu na ukoo wenu mzima ili muishi milele??
 
nchi za Africa kuanzia Ivory coast, ghana, Kenya, Rwanda, etc wametoa Bail out kwa makampuni na wananchi. Janga la corona linaumiza afya na uchumi wa wananchi. Nchi zinginezo Africa zinatoa unafuu wa kodi mbalimbali, na kugawa chakula kwa wananchi masikini. Tanzania ni kisiwa, ni tofauti. Serikali inaomba wananchi bailout..!!! Mahokaa Yaani Serikali ya Tanzania inaomba wananchi msaada.

Lingine la kushangaza: Mawaziri wa Tanzania, maofisa wa ngazi za juu, sio wazalendo hata kidogo. Mpaka sasa sijasikia kuwa wamejitolea nusu mshahara ili kusaidia katika janga la Corona. Uzalendo wao uko wapi? Ona Kenya, Uganda, Rwanda na kwingine. Spika Ndugai hajatoa mwongozo, wabunge wakatwe shs ngapi...

Haya, basi, enendeni kule Twitter mkapambane na Waziri wa Majoka na Chatu...na kujibu hoja za CAG ...

Kama una povu, ruksa.
Acha kupenda vya bure fanyakazi kijana! Mungu alishasema asiyefanyakazi na sile!
 
Back
Top Bottom