Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

Luka : Mlango 23
29 Kwa maana tazama, siku zitakuja watakaposema, Heri walio tasa, na matumbo yasiyozaa, na maziwa yasiyonyonyesha.
 
Waliogundulika Kenya si watz ila ni wakenya wenye history ya kupita Tz , hujui walipita tar ngapi, Tz sehemu gani , kwa muda gani? Inawezekana walikuwa transit tu hapo Zenji au JNIA wakaambukizana wenyewe, spread facts not fear.
JNIA inaingiaje hapa. Kuna ndege inaruka sasa hivi across the border?
 
Umethibitisha Vipi wakati hujui wametoka Tz lini, kwa njia gani ? Na kwa nini isiwe maambukizi wamepata Kenya huko huko kwa kuwa Kenya imeshathibitika tayari kumechafuka zaidi.
SPREAD FACTS NOT FEAR.
Yaani wewe usafiri leo kwenda Kenya, upate maambukizi ukiwa Kenya leoleo, upimwe leoleo na ugundulike leoleo?

Uko serious mkuu?
 
Tunaiomba serikali tu isiruhusu mfumo wa 5G nchini na vipimo feki vya COVID-19 vibavyotoa majibu fake na kupaisha maambukizi na hivyo kuongeza hofu kwa wananchi.Mfumo wa 5G unaotumia mm waves unashusha kinga sana na kuzuia damu kubeba hewa safi ya kutosha!Tukumbuke kwamba hofu inaua.
 
nchi za Africa kuanzia Ivory coast, ghana, Kenya, Rwanda, etc wametoa Bail out kwa makampuni na wananchi. Janga la corona linaumiza afya na uchumi wa wananchi. Nchi zinginezo Africa zinatoa unafuu wa kodi mbalimbali, na kugawa chakula kwa wananchi masikini. Tanzania ni kisiwa, ni tofauti. Serikali inaomba wananchi bailout..!!! Mahokaa Yaani Serikali ya Tanzania inaomba wananchi msaada.

Lingine la kushangaza: Mawaziri wa Tanzania, maofisa wa ngazi za juu, sio wazalendo hata kidogo. Mpaka sasa sijasikia kuwa wamejitolea nusu mshahara ili kusaidia katika janga la Corona. Uzalendo wao uko wapi? Ona Kenya, Uganda, Rwanda na kwingine. Spika Ndugai hajatoa mwongozo, wabunge wakatwe shs ngapi...

Haya, basi, enendeni kule Twitter mkapambane na Waziri wa Majoka na Chatu...na kujibu hoja za CAG ...

Kama una povu, ruksa.
Yaani umenifanya niumie rohoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliogundulika Kenya si watz ila ni wakenya wenye history ya kupita Tz , hujui walipita tar ngapi, Tz sehemu gani , kwa muda gani? Inawezekana walikuwa transit tu hapo Zenji au JNIA wakaambukizana wenyewe, spread facts not fear.
wakenya kwa fake news hatuwawezi! huo ni uongo mtakatifu ina maana kila mbongo ana Coronavirus! bongo inawachukiza daima hawajui tunaishije na kazi yao kutupaka matope duniani hata waliwahi kusema Olduvai Gorge iko Kenya na Mt Kilimanjaro iko Kenya, serikali iwakemee na kuomba profile za hao wagonjwa na taarifa zao za safari!wapambane na hali yao na Corona yao na rushwa inayonuka huko kwanza kuna kijana walimuua kwenye vurugu za curfew na kuna habari watu wanakufa kwa kugombea chakula cha msaada baada ya kufungiwa!
 
Ilishajulikana kuna mtu anataka ugonjwa usambae Sana I'll aahiridhe uchaguzi,ila kwa uwezo wa Mungu haitokuwa hivyo.
 
TATIZO la Tanzania kumekuwa na MILUZI mingi kutoka Kwa viongozi wetu wa kisiasa ndiyo maana mbwa(WANANCHI) wanapotea Kwa kutojua yupi wa kumsikiliza,Leo atakuja MAKONDA na ushauri wake na kesho atakuja ummy mwalimu, waziri Mkuu na msemaji Mkuu wa serikali na kauli zao Kwa style hiyo usitegemee kupata data sahihi.

Wagonjwa bado ni wengi jamani na hiyo yote imesababishwa na wanasiasa
Wewe acha wivu wa kike kwa Makonda
 
Mkuu naona unachanganya mambo hapa, mtu akisafiri toka Tanzania kwenda nchi nyingine kama aliingia hiyo nchi kihalali haimaanishi kuwa Tatizo lipo Tanzania bali hata huko alikoruhusiwa kuingia. Swali hapa ni kwanini wamruhusu kuingia.

Pili: Hao watatu waliosafiri toka Tanzania uraia wao ni wa nchi gani?? Kama ni wakenya, walikaa tanzania muda gani?? inawezakana walikuja nao wakatuachia hapa. Hivyo kusafiri toka tanzania halafu huko ulikokwenda ukakutwa nao haina maana kuwa huo ugonjwa umeutoa Tanzania, kwa nature ya huo ugonjwa inawezekana kuubeba kwa muda bila dalili kuonekana, so probability ya kuutoa huku au kutoka nao ulikotoka nao inakuwa moja.
 
wote walikuwa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom