Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Hongereni sana mlioenda Tanga kwa kutuwakilisha..ila mbona picha mmebana au ndio hizi chache tu??

katika wote tulioenda hakuna hata mmoja ambaye ni verified user hivyo hutaweza ona picha ya mdau hata mmoja hapa jamvini...kuna thread alianzisha marejesho huko utakuta picha kadhaa za mandhari tu...
 
Haya jamani, nini kinaendelea saa hii hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…