Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

mkuu nimekuletea tumati....nakuona wapi nikukabidhi....?
Mi ndio kwanza leo nasikia makitu inaitwa tumati...ndiyo nini?...zinaliwa au mapambo?

All in all, we niletee bana, zitatumika tu.

Kama uko mahali salama ni'DIPU basi, nna ishu la ukwee!
 
Back
Top Bottom