May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Zilitoka taarifa kuwa kuna hatihati ya kumuacha Papi Sako na wengine kadhaa, hatimaye tukaona ameachwa Duncan Nyoni. Sioni kama Uongozi na benchi la ufundi Simba wamefanya uamuzi mzuri.
Kwa muda mfupi aliopata nafasi Nyoni nimeona ameonesha kitu ambacho alihitaji muda zaidi wa kuonesha kile kidogo alichokwishaonesha.
Kwa tathmini yangu Nyoni ana kitu kuliko wengi waliobaki pale Simba.