ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Duncan Tutamkumbuka….!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama haikuwa hivyo ni vyema.TARIFA ZILITOKA WAPI..sako mekua akiuguza majeraha toka mechi na biashara miezi kadhaa hivi, kuwa makaini akina maulidi kitenge mzeeee .. kiufupi: kulingana na hoja ya yako ya kumtetea Nyoni, Simba kwa sasa inahitaji wachezaji KILLER , real monster..katika dakika 90 za mchezo ,namaanisha simba inahitaji wachezaji wanye uwezo wa kumaliza mchezo muda wotote katika dakika 90 kutakana na kuwa katika mashindano mengi kama shirikisho , ligi kuu na ligi zingine ndogo..simba hii ni UNYAMA UNYAMA sio ile mliozoea
Tumepigwa na kitu kizito kichwani wana Simba.Kwa Kibu denis wamekurupuka kumuacha
Ila lisemwalo lipo maana hata taarifa za Chama kurejea mpaka sasa tunazipata kutoka kwa hao hao Wachambuzi, hakuna Offiial wa Simba yeyote aliyekwishatoka mbele na kutueleza ni nini kinaendelea.Wapi Simba SC walisema kuwa wanataka kumuacha Sakho?
Au unababaika na Kauli za wachambuzi..!
Ungemsikia Mafia Crescentius Magori, baada ya Usajili wa Sakho usingechukua maneno ya Wachambuzi na ukaleta hapa.