Kibu kaachwaa lini tenaa jmn na jana kachezaaKwa Kibu denis wamekurupuka kumuacha
Kuachwa kuwa sehemu ya kikosiKibu kaachwaa lini tenaa jmn na jana kachezaa
"Kuachwa kuwa sehemu ya kikosi" ndio nini ?Kuachwa kuwa sehemu ya kikosi
Nyoni ni mchezaji mzuri sana ila siyo lethal na ni slow sana.Mi mwenyewe niliona hicho kitu. Mara nyingi Nyoni alipata nafasi chache za kucheza, tena anaingizwa dk za 80s halafu tunamwangalia ndani ya hizo chache na kuhitimisha kuwa aachwe,HAIKUWA FAIR (ndani ya zile dk niliona alikuwa akicheza vizuri kabisa).
Hata yule Peter Banda ni mzuri akipewa muda, mechi ya jana ya Afcon kacheza superbly kabisa. Na kuna huyu Udoh anayeingizwa dk za lala salama kila siku,huyu naye tuje tusema hajui kitu aachwe,tutakuwa tumelogwa.
Simba wangeweza kufanya swap deal Ajib vs TepsieNyoni aende azam ila sasa ana uwezo wa kumpora namba tepsie
Si ndio hapo mdau maana akina mhilu mwenda mwinuke sijui na wengine kibao wameshindwa kwenda na falsafa ya timu huyo gadiel ndio kabisa hafanyi mashambulizi akipata mpira lazima arudishe nyuma tu...Simba wangeweza kufanya swap deal Ajib vs Tepsie
TARIFA ZILITOKA WAPI..sako mekua akiuguza majeraha toka mechi na biashara miezi kadhaa hivi, kuwa makaini akina maulidi kitenge mzeeee .. kiufupi: kulingana na hoja ya yako ya kumtetea Nyoni, Simba kwa sasa inahitaji wachezaji KILLER , real monster..katika dakika 90 za mchezo ,namaanisha simba inahitaji wachezaji wanye uwezo wa kumaliza mchezo muda wotote katika dakika 90 kutakana na kuwa katika mashindano mengi kama shirikisho , ligi kuu na ligi zingine ndogo..simba hii ni UNYAMA UNYAMA sio ile mliozoeaZilitoka taarifa kuwa kuna hatihati ya kumuacha Papi Sako na wengine kadhaa, hatimaye tukaona ameachwa Duncan Nyoni. Sioni kama Uongozi na benchi la ufundi Simba wamefanya uamuzi mzuri.
Kwa muda mfupi aliopata nafasi Nyoni nimeona ameonesha kitu ambacho alihitaji muda zaidi wa kuonesha kile kidogo alichokwishaonesha.
Kwa tathmini yangu Nyoni ana kitu kuliko wengi waliobaki pale Simba.
Nafikiri Jimson akipewa muda ataweza kukaa sawa anaconfidence na ni mzuri kushambulia na kuzuia.Si ndio hapo mdau maana akina mhilu mwenda mwinuke sijui na wengine kibao wameshindwa kwenda na falsafa ya timu huyo gadiel ndio kabisa hafanyi mashambulizi akipata mpira lazima arudishe nyuma tu...
Gadiel is a respected flopSi ndio hapo mdau maana akina mhilu mwenda mwinuke sijui na wengine kibao wameshindwa kwenda na falsafa ya timu huyo gadiel ndio kabisa hafanyi mashambulizi akipata mpira lazima arudishe nyuma tu...
Safari hii azam hawawezi kukubali😀😀😀Nafikiri Jimson akipewa muda ataweza kukaa sawa anaconfidence na ni mzuri kushambulia na kuzuia.
Israel Mwenda ameshakaa kwenye mfumo ila bado kuna mambo anatakiwa kuongeza quality ya crossing, passing accuracy na aggressiveness, game concentration na but so far he is coping.
Muhilu nina wasiwasi kama ataenda beyond this season anaonekana kupoteza confidence na uelewano na wenzake.
Ikitokea simba wameachana na Dilunga hope best option ni Tepsie Evance
Azam wameibua wachezaji wawili wazuri ambao wanafaa sana kusajiliwa.Safari hii azam hawawezi kukubali[emoji3][emoji3][emoji3]