Mlitaka kumuacha Sako, kwa maoni yangu hata kumuacha Duncan Nyoni mmekurupuka

Basi kama haikuwa hivyo ni vyema.

Ingawa binafsi sina utaalamu sana wa soka lakini mara zote nilizomuona Nyoni nilifurahia mchango wake na nikatamani nimuone zaidi.
 
Wapi Simba SC walisema kuwa wanataka kumuacha Sakho?

Au unababaika na Kauli za wachambuzi..!

Ungemsikia Mafia Crescentius Magori, baada ya Usajili wa Sakho usingechukua maneno ya Wachambuzi na ukaleta hapa.
Ila lisemwalo lipo maana hata taarifa za Chama kurejea mpaka sasa tunazipata kutoka kwa hao hao Wachambuzi, hakuna Offiial wa Simba yeyote aliyekwishatoka mbele na kutueleza ni nini kinaendelea.

Sasa je hizo taarifa za Wachambuzi tuzipuuze au tukae mkao wa kula?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…