tumemchoka kwa tabia zakeSimba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.
Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone to Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.
Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?
Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.
Imeisha hiyo........
Kweli Utopolo wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazoHivyo vyanzo viliweza kupata habari za Burkina Faso ila hawakuweza kupata habari za jirani yetu Zambia wakati wa kumsajili Chikwende?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
alishapeleka timu makundi huyo.Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.
Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone to Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.
Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?
Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.
Imeisha hiyo........
Babalao kwenye usajili?huu usajili wa kina okwa okra sijui baleke na wengine wengi vilaza ndo usajili?Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.
Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone to Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.
Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?
Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.
Imeisha hiyo........
Wewe ni binamu yake Kambole,Hivyo vyanzo viliweza kupata habari za Burkina Faso ila hawakuweza kupata habari za jirani yetu Zambia wakati wa kumsajili Chikwende?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wakiniita hivyo siingizi Pesa na Sitombi?We jamaa ndio maana wenzako wanakuita popoma
Hela ya Feisal je, imerudi au bado?Mbumbumbu huyu mburknabe aliyoyafanya yanga mpk sasa hela yetu imerudi,nikukumbushe?
Usajili ni kamari. Aucho na Mudathir hawana mpya na hata Yanga mashabiki wanawakosoa, Bobosi hakuwahi kuhitajika Simba, Manzoki klabu ilimwekea ngumu na Adebayor ameporomoka, na pengine angekuja kuporomokea Simba, leo hii ungemuweka kwenye list ya hao akina Okwa. Kuhusu Okrah, huyo ni majeruhi so si sahihi kumuhukumu wakati hachezi, huyo ni sawa na kumuhukumu MorrisonNikikumbuka issue ya Aucho, Mudathir, Bobosi, Manzoki na V. Adebayor
Nikalinganisha na Okrah magic, Okwa, Duncan nyoni, Dejan mzungu, V.Akpan na Sawadogo, Chikwende
Nikijumlisha na uzi wako naona kabisa ulicholenga ni kuwaumiza mashabiki wa simba.
Tumia akili, nahs na wewe ni moja ya hao mafia..kawaida yenyewe ndio hiyo, kwamba kasi yake inapunguzika

Tulia akili, au nawewe ndo moja Kati ya hao mafia??kawaida yenyewe ndio hiyo, kwamba kasi yake inapunguzika