Mlitamba nae, Mlijivunia nae, mkafurahia Mashuti yake na Kumfananisha na Chama mbona leo mmemchoka?

Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.

Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone to Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.

Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?

Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.

Imeisha hiyo........
tumemchoka kwa tabia zake
 
Hivyo vyanzo viliweza kupata habari za Burkina Faso ila hawakuweza kupata habari za jirani yetu Zambia wakati wa kumsajili Chikwende?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kweli Utopolo wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazo

Usajili ni kamari hata timu za Ulaya zinafeli, unashangaa kwa Chikwende! Unaacha ya akina Yikpe.
 
Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.

Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone to Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.

Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?

Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.

Imeisha hiyo........
alishapeleka timu makundi huyo.
tuache kuropoka bila reference. ni hayo tu
 
Hakuna ulijualo unayemponda kaitwa Timu ya Timu ya Taifa vipi hao wambeya wenzako wameshindwa kuwaambia chama cha soka cha nchi yake.

Badala umjadili Okrah, Sawadogo, Mkude, Dejan umebaki kutoa milio ya ajabu tu humu
 
Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.

Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna Mchezaji hapo, wa Kawaida sana tu halafu ni Prone to Injury, ila kwa Ushamba wenu na Dharau mkatuona hatuna Akili wakati kumbe Simba SC ndiyo Baba Lao kwa Usajili.

Hizi kelele zenu Redioni na Runingani kuwa Mburkinafaso Wenu kuwa si Kitu na Anabahatisha tu Kiuchezaji nendeni mkamwambie Rais wenu muongo muongo na siyo Sisi Wadau na wenye Kuujua vyema Mpira ( hasa huu wa Tanzania ) sawa?

Na lile Goti lake haponi ng'o Kudadadeki zenu kwani Mafia kutoka upande wa Pili wameshafanya yao ili Kumpunguza Kasi na Miguvu yake isiyo na Faida.

Imeisha hiyo........
Babalao kwenye usajili?huu usajili wa kina okwa okra sijui baleke na wengine wengi vilaza ndo usajili?
 
Nikikumbuka issue ya Aucho, Mudathir, Bobosi, Manzoki na V. Adebayor

Nikalinganisha na Okrah magic, Okwa, Duncan nyoni, Dejan mzungu, V.Akpan na Sawadogo, Chikwende
Nikijumlisha na uzi wako naona kabisa ulicholenga ni kuwaumiza mashabiki wa simba.
 
Usajili ni kamari. Aucho na Mudathir hawana mpya na hata Yanga mashabiki wanawakosoa, Bobosi hakuwahi kuhitajika Simba, Manzoki klabu ilimwekea ngumu na Adebayor ameporomoka, na pengine angekuja kuporomokea Simba, leo hii ungemuweka kwenye list ya hao akina Okwa. Kuhusu Okrah, huyo ni majeruhi so si sahihi kumuhukumu wakati hachezi, huyo ni sawa na kumuhukumu Morrison
 
Back
Top Bottom