Mlitucheka Simba SC kumuacha Mkude na Mkamsajili ili Kutukoga sasa kaanza kuwafanyieni Vitimbi mtamkoma

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Za uhakika kabisa ni kwamba hayuko Kambini na Simu Kawazimieni. Mtawaficha Wengine Habari zenu za Ndani Avic Town Kigamboni ila siyo Mimi GENTAMYCINE The King.

Kwahiyo mliwaona Simba SC hawana Akili Kumuacha na mkamsajili kwa Mihemko huku mkimtuma atutukane, atukashifu na aibusu Jezi yenu?

Nendeni Maskani zake Tatu pale Tandale kwa Dulla au Kawe kwa Pazi au Kinondoni Biafra katika Baa ya Mama yake ambaye Yeye ndiyo kamfungulia hamtomkosa sawa?

Hamna Akili...!!
 
Jamaa unapenda sana matukano
 
Uzi tayari?????

JAMII Forum inachezewa sana
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
hakuna vitimbi vyovyote alivyofanya ni propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANAANDIKA MANYANZA.

Manyanza

"Huu uzi ni upuuzi mtupu. Tumia akili yako kutafakari kabla ya kupost maneno ta kuokoteza kwenye vijiwe vya Kahawa. Pale Karume karibu na TFF. We jamaa nilishakwambia tafuta msaada wa Kisaikolojia maana afya yako ya akili haiko sawa

Manyanza
 
Uzuri vitimbi vyake VIPO kwenye mkataba. Akivileta mshahara kwinyoooo, unakatwa.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Angalau leo umeandika kitu cha maana.
 
wewe ni sawa na mwanaume aliyemuacha mkewe halafu bado anamfuatilia . jiangalie bro kuna kitu hakipo sawa
matusi ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…