Mlitucheka Simba SC kumuacha Mkude na Mkamsajili ili Kutukoga sasa kaanza kuwafanyieni Vitimbi mtamkoma

POPOMA kwenye moja na mbili
 
Kama hiki kwako ndicho cha maana basi unashida mahali. Angalia clips za mazoezini Avic town kama hautomuona Mkude mazoezini.
Hata Gael Bigirimana alionekana mazoezini Avic siku chache nyuma...kilichofuata uliona mwenyewe.
 
Kwani huyo ni Mchezaji wa Ridhaa au wa Shirika la umma?
 
Kumbe uulishawahi muona?

Aaahaaa
 
Eti na simu kazima!! sasa huyo ana umuhimu gani pale Yanga mpaka uandike insha yote hii
 
Umbea,majungu uchonganishi, unafiki, na uongo ni miongoni mwa vitu vinavyoweka watu mjini haswa watu waliokuwa jinsi ya kike. Kama mwanaume unakuwa na hizo sifa basi yafaa kujitafakari haswa. Yanga inakikosi kipana haswa hivyo mtazusha mengi sana msimu huu lakini Mkude yupo zake Avic town anakipasha na wenzie mazoezini. Wewe endeleza majungu maana ndio mtaji kwako.
 

Attachments

  • -Mlf9wPYQ_HaX4Zq.mp4
    9.4 MB
  • Screenshot_2023-09-27-15-30-15-669_com.twitter.android.jpg
    92 KB · Views: 2
Mm nilijuwa max nzingela ndio kazima simu kumbe mfuta bangi mkude

Mkude yule tutamtoa kwa mkopo kwemda singida dirisha dogo
 
Sio kila mtu ataonesha wazi kuwa anakukubali.....mwingine atakuonesha kwa Chuki ilhali Moyoni anakukubali .....kazi nzuri mkuu
Nalijua hilo Mkuu kwani Watajwa wote hao Wanahubiri Kunichukia kila Siku hapa JamiiForums wakiongozwa na Kubwa Jinga la JamiiForums Dr Matola PhD lakini cha Kushangaza ndiyo Watu ( Members ) wanaoongoza kwa Kunifuatilia na Kusoma kila aina ya Thread yangu na hata Posts hapa Jamvini.

Kudadadeki......

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…