Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POPOMA kwenye moja na mbiliANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.
Hata Gael Bigirimana alionekana mazoezini Avic siku chache nyuma...kilichofuata uliona mwenyewe.Kama hiki kwako ndicho cha maana basi unashida mahali. Angalia clips za mazoezini Avic town kama hautomuona Mkude mazoezini.
Kwani huyo ni Mchezaji wa Ridhaa au wa Shirika la umma?Za uhakika kabisa ni kwamba hayuko Kambini na Simu Kawazimieni. Mtawaficha Wengine Habari zenu za Ndani Avic Town Kigamboni ila siyo Mimi GENTAMYCINE The King.
Kwahiyo mliwaona Simba SC hawana Akili Kumuacha na mkamsajili kwa Mihemko huku mkimtuma atutukane, atukashifu na aibusu Jezi yenu?
Nendeni Maskani zake Tatu pale Tandale kwa Dulla au Kawe kwa Pazi au Kinondoni Biafra katika Baa ya Mama yake ambaye Yeye ndiyo kamfungulia hamtomkosa sawa?
Hamna Akili...!!
Kumbe uulishawahi muona?MANYANZA.
"Huu uzi ni upuuzi mtupu. Tumia akili yako kutafakari kabla ya kupost maneno ta kuokoteza kwenye vijiwe vya Kahawa. Pale Karume karibu na TFF. We jamaa nilishakwambia tafuta msaada wa Kisaikolojia maana afya yako ya akili haiko sawa
Manyanza
Mimi ni Mumewe au hujui / hamjui?Kumbe uulishawahi muona?
Aaahaaa
Umbea,majungu uchonganishi, unafiki, na uongo ni miongoni mwa vitu vinavyoweka watu mjini haswa watu waliokuwa jinsi ya kike. Kama mwanaume unakuwa na hizo sifa basi yafaa kujitafakari haswa. Yanga inakikosi kipana haswa hivyo mtazusha mengi sana msimu huu lakini Mkude yupo zake Avic town anakipasha na wenzie mazoezini. Wewe endeleza majungu maana ndio mtaji kwako.Za uhakika kabisa ni kwamba hayuko Kambini na Simu Kawazimieni. Mtawaficha Wengine Habari zenu za Ndani Avic Town Kigamboni ila siyo Mimi GENTAMYCINE The King.
Kwahiyo mliwaona Simba SC hawana Akili Kumuacha na mkamsajili kwa Mihemko huku mkimtuma atutukane, atukashifu na aibusu Jezi yenu?
Nendeni Maskani zake Tatu pale Tandale kwa Dulla au Kawe kwa Pazi au Kinondoni Biafra katika Baa ya Mama yake ambaye Yeye ndiyo kamfungulia hamtomkosa sawa?
Hamna Akili...!!
Aahaaaaa,nashukuru Kwa kunijuzaMimi ni Mumewe au hujui / hamjui?
Mm nilijuwa max nzingela ndio kazima simu kumbe mfuta bangi mkudeZa uhakika kabisa ni kwamba hayuko Kambini na Simu Kawazimieni. Mtawaficha Wengine Habari zenu za Ndani Avic Town Kigamboni ila siyo Mimi GENTAMYCINE The King.
Kwahiyo mliwaona Simba SC hawana Akili Kumuacha na mkamsajili kwa Mihemko huku mkimtuma atutukane, atukashifu na aibusu Jezi yenu?
Nendeni Maskani zake Tatu pale Tandale kwa Dulla au Kawe kwa Pazi au Kinondoni Biafra katika Baa ya Mama yake ambaye Yeye ndiyo kamfungulia hamtomkosa sawa?
Hamna Akili...!!
Simba, Liverpool, inawezekana huyu jamaa ndio Ricardo Momo mwenyeweMkuu nimeona hii ishu mzee wa kudere akiiongelea leo wasafi.......MAUA YAKo[emoji1][emoji119][emoji119]
Labda yeye ndio alitakiwa apewe ile segment ya zandaniiii Ricardo Momo anatumia mgongo wake tuuuSimba, Liverpool, inawezekana huyu jamaa ndio Ricardo Momo mwenyewe
Nalijua hilo Mkuu kwani Watajwa wote hao Wanahubiri Kunichukia kila Siku hapa JamiiForums wakiongozwa na Kubwa Jinga la JamiiForums Dr Matola PhD lakini cha Kushangaza ndiyo Watu ( Members ) wanaoongoza kwa Kunifuatilia na Kusoma kila aina ya Thread yangu na hata Posts hapa Jamvini.Sio kila mtu ataonesha wazi kuwa anakukubali.....mwingine atakuonesha kwa Chuki ilhali Moyoni anakukubali .....kazi nzuri mkuu