GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
hii mechi kali asiye na mwana abebe jiwe
Mwaka huu na wao wataonja ladha ya udhalimu wao.
Point yako nini mkuu?
Upo sahihi kabisa mkuu, habari za ndiyo mzee tuziwache sasa
Ikifika muda ndiyo utaamua kwani hakuna aliyezaliwa kuteswa kila kukicha.
Na ogopa sana siku bubu akijifunza kuongea
Huo muda utafika lini? Acha umama,wakati wa respond back ni sasaIkifika muda ndiyo utaamua kwani hakuna aliyezaliwa kuteswa kila kukicha.
Na ogopa sana siku bubu akijifunza kuongea
Maneno yako wakati mara nyingi huwa kama yalivyotoka kwako. Hata mwezi haujaisha kila ulichosema kiko wazi sasa. Ila sijui sababu ya ukatili huu ni ipi?
Mwamba ana damu ya wakenya wakenya sio waoga baada ya kutolewa ile ya kitz kupitia matibabu,Kwa kupigwa kwake nasi tutaponaNilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.
Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Wenye ugonjwa wa "uKondoo wa Nyerere" bado tupo wengi, hata tukikanyagwa tunashangilia, likimpata jirani yangu nasema hilo ni lake. Ukisema mfalme kakaa uchi tunakuambia wewe ni mtukanaji na mchochezi. Ukiandamana tunasema unafanya vurugu. Ukiikosoa serikali tunakuita msaliti. Upinzani ukipigwa dafrau tunasema hao watukutu ni stahiki yao. Neno haki hatulitamki tujualo ni neno amani lazima ilindwe kwa nguvu zote. Wengi wetu humu JF tunaugua ugonjwa huo-tukisha piga kelele tunalala, ingawa kupiga kelele ni dalili ya kwanza kuanza kupona ugonjwa huo.
Tukipata viongozi mkakati na kwenda nao sambamba huu ugonjwa waweza pona hata kama sio mara moja. Hata hivyo hakuna ajuae kesho yake.
Hiyo ndo njia pekee ya kumaliza huu ujingaUpo sahihi kabisa mkuu, habari za ndiyo mzee tuziwache sasa
Huo muda utafika lini? Acha umama,wakati wa respond back ni sasa
Hawa wenye serikali wataleta machafuko1Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.
Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
mwamba ana damu ya wakenya wakenya sio waoga baada ya kutolewa ile ya kitz kupitia matibabu,Kwa kupigwa kwake nasi tutapona
Ulimtabiria makonda sina hamu na weweMkuu kuna Watu wengine kwa Macho ya kawaida tunaweza 'Kudharaulika' na 'Kupuuzwa' ila tuna 'Ubarikio' mkubwa wa 'Kimaono' wa Mungu Baba.
heri kufa katika haki kuliko kufa katika dhambi,kukaa kimya maouvu yakishamili ni dhambi mbaya sanaKisaikolojia tu kwa Kilichomtokea 'Mwamba' kwa sasa hana cha Kupoteza hata 'Akifa' ila kwa 'Wafuasi' najua wengi Wao bado wanapenda Kuishi tu.
Hiyo ndo njia pekee ya kumaliza huu ujinga
Naona ntarahamwe washaanza rafu za uchaguzi safari hii tupinge hakuna damu ya mtza yeyete itakayomwagika wamezoea sana kila kunapo uchaguzi lzm wamwage damu za ndugu zetu
Punguza ujuaji
Punguani wa hedi wewe