Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

Kuna kitu maCCM wanajidai nacho kwamba wananchi waoga...ila kuna siku inakuja mafisadi watatafuta pa kukimbilia...
 
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?

Na wake tu wala wasichelewe. Siku zote tunajua hawajibadilisha kwa hiari. Hawatenda haki kwa hiari. Hawataheshimu watanzania wenzao kwa hiari. Watafanyia hivyo kwa kipigo kikali na damu puani.

Muda umeshafika na msimu ndiyo huu. Walishazowea vya kunyonga. Hata safari hii hawatajifunza kuchinja.

Wajue hili wazi na ni vizuri wajue: wakipita, watapigwa. Wakijeruhi watajeruhiwa. Wakiua watauawa.

Tutaenda hivyo hivyo mpaka kichaa wao aingiwe na akili na ama kuacha ujinga, au kupisha kwa amani bila kelele za kiburi.

Tanzania si mali yenu kigenge cha wezi na wapiga ramli nyie. Hii ni nchi ya mababu zetu site. Hatutakubali kuishi kwa hofu. Labda site tuishi kwa kiogopana.
 
Hivi hilo jino lenyewe tunalo?
Mkuu tunalo Ila nadhani bado tuna ujinga mwingi,watawala wameshaonesha hawaki amani. So we have two choices,tupigane ili ama tubadirishe hii equestion au tukae kimya wawe wanaua na kujeruhi mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom