Ukiona unajiuliza uliza bado haujaamua, Kwanza wewe mwenyewe ni pasua kichwa, huwezi ukawa uanaachwa wewe Kama ulivyosema ma ex wako wanatamani kukirudia, labda nikuambie tu ni kwasababu walikotegemea hakujawapa matokeo hakuna ambaye angetamani kukirudia Kama unavyosema hapa.
Historia kila mtu anahistoria yake, unapoamua kuoa unakuwa umeamua kuzika historia yako ya nyuma na umeamua kutengeneza mpya na huyo unayetaka kuishi naye. As long as wewe mwenyewe haujatulia ndio maana unaona wawanawake wote ni wale wale yaani huoni utofauti katika maungo yao, vipi kuhusu mtazamo wao, life style, maadili wote wako sawa??? Kaa chini utafakari tena utaona wapo wengi wa kuoa