Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi jifunze kwanza kuandika kwa usahihi then ndio ujaribu kujitafakari kama akili za ndoa uko nazo.sio kweli , ni maisha yangu , nataka kufanya vitu sahii . na kuwa sahii nikuwa na information sahii
Ndoa si kwa kila mtu, kwa mtazamo huo ulionao unatakiwa kukaa nayo mbali maana haitakuwa rafiki kwako.na mpango , ila i want to be logical ?? kuna vitu sielewi may be am looking on the wrong things ,
Na aelewe hapaUkiona unajiuliza uliza bado haujaamua, Kwanza wewe mwenyewe ni pasua kichwa, huwezi ukawa uanaachwa wewe Kama ulivyosema ma ex wako wanatamani kukirudia, labda nikuambie tu ni kwasababu walikotegemea hakujawapa matokeo hakuna ambaye angetamani kukirudia Kama unavyosema hapa.
Historia kila mtu anahistoria yake, unapoamua kuoa unakuwa umeamua kuzika historia yako ya nyuma na umeamua kutengeneza mpya na huyo unayetaka kuishi naye. As long as wewe mwenyewe haujatulia ndio maana unaona wawanawake wote ni wale wale yaani huoni utofauti katika maungo yao, vipi kuhusu mtazamo wao, life style, maadili wote wako sawa??? Kaa chini utafakari tena utaona wapo wengi wa kuoa