Mliweza vipi kuoa?

Mliweza vipi kuoa?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Unajua najiuliza , hivi nyie mliooa mliona nini kwa wake zenu that other women dont , maana mimi kila mwanamke naona the same characteristcs , yani shida shida , ukipata atleast ana a very terrible past , yani kauza sana , mimi na very good history from exs, karibu wote wana admit , wao ndo wamezingua sio mimi , NA HATA KESHO wapo ready kuludi , nipo nao peaceful

1. Shida nikuwa nyie watu mmeoa mmeona nini ??
2. Nini kinawaweka kwa wake zenu ??
3. Why mna push foward kuwa support ??
4. What are your limits and her limits ??
5. Kwamba kuna tofauti gani nje na ndani ya ndoa ??
6. Ni mapenzi tu au kuna kingine ??
7. Why vijana waoe ??
8. Are you happy with ur marriage ??
 
Mkuu wewe oa mengine mbele Kwa mbele.fikiria ukiugua nani wa karibu Yako wa kukusaIdia(kukuuguza)?🤣🤣🤣🤣🪑
 
_20240102_121529.JPG
 
Siku ukifahamu ndoa inachangiwa na jambo la kiroho ndipo utakapoacha kujiona Mr perfect(wana "admit")

Ndoa sio shinikizo la tamaa(kutatua tamaa za kimwili pekee n.k ,shinikizo la hisia za ajabu ajabu.

Endelea kuruka ruka umpate mwenye vile unataka.
 
1. Tumeoa kwa sababu tumeangalia atakaekua mama wa watoto wetu na sio kuangalia manyonyo na mawezere
2. Familia, watoto, na muendelezo wa kizazi, maendeleo, heshima, furaha, nyenye.
3. kuoa ni kipimo cha uanaume na maisha. Tofauti na hapo wewe bado n mvulana tu.
4. Ni story ndefu. Kila mtu anazo tofauti. Sio general.
5. Huwez kuona tofaut kama hujaingia kwenye ndoa. Lakn kama ukizaliwa na wAzaz wako wote wawili rudi ukajifunze kwao.
6. Kuna mapenzi na vinginevyo
7. Kwa sababu hapo ndo wanajifunza kuwa na mujukumu na kukua kiakili na kimwili na kiroho.
8. Yes. Yes. Yes. I would do it again in a heart beat.

BONUS.
pile sana kwakua unakutana na hao wauzaji all the time. Ni wakat muafaka ubadilishe circle yako
 
Siku ukifahamu ndoa inachangiwa na jambo la kiroho ndipo utakapoacha kujiona Mr perfect(wana "admit")

Ndoa sio shinikizo la tamaa(kutatua tamaa za kimwili pekee n.k ,shinikizo la hisia za ajabu ajabu.

Endelea kuruka ruka umpate mwenye vile unataka.
nipo hapa , kujua zaidi . wapi nakosea au wapi sioni ?? sipo kujiona perfect . give me infornation sio vitisho
 
Ukiona unajiuliza uliza bado haujaamua, Kwanza wewe mwenyewe ni pasua kichwa, huwezi ukawa uanaachwa wewe Kama ulivyosema ma ex wako wanatamani kukirudia, labda nikuambie tu ni kwasababu walikotegemea hakujawapa matokeo hakuna ambaye angetamani kukirudia Kama unavyosema hapa.

Historia kila mtu anahistoria yake, unapoamua kuoa unakuwa umeamua kuzika historia yako ya nyuma na umeamua kutengeneza mpya na huyo unayetaka kuishi naye. As long as wewe mwenyewe haujatulia ndio maana unaona wawanawake wote ni wale wale yaani huoni utofauti katika maungo yao, vipi kuhusu mtazamo wao, life style, maadili wote wako sawa??? Kaa chini utafakari tena utaona wapo wengi wa kuoa
 
Back
Top Bottom