Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #101
😂😂🙌🙌Ungeweka na kitunguu ladha inakuwa bomba zaidi.
Wambea na wajuaji tupo lazini😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🙌🙌Ungeweka na kitunguu ladha inakuwa bomba zaidi.
Wambea na wajuaji tupo lazini😀
Kweli aoe make hadi nzi wanamfanyia dharau za wazi waziKijana aoe tu asee .
😂 huwa napika sana ila hiyo steji aliyofikia huyo jamaa hapana, kuna siku nimeletewa ndizi nikaona zisiaribike nizimenye, nikaenda kununua vile vifuko vya mia vinne nikavivaa, nilichonga mbili tu nikasema hii kazi hapana bora ziive nitazila mbivu.Amin amin nawaambia, mwanaume anayeweza kumenya ndizi na kuzipasua kabisa kama huyu, kuoa ni historia😄😄
🙌🙌🙌 zikaiva😂 huwa napika sana ila hiyo steji aliyofikia huyo jamaa hapana, kuna siku nimeletewa ndizi nikaona zisiaribike nizimenye, nikaenda kununua vile vifuko vya mia vinne nikavivaa, nilichonga mbili tu nikasema hii kazi hapana bora ziive nitazila mbivu.
Mkuu mimi mwenyewe napika sana tu ila katika vitu vimenishinda ni ndizi. Naweza kusema hicho ndio chakula ambacho hata kupika sijawahi kujaribu kwasababu ya hiyo kazi ya kumenya. Sasa nikicheki jinsi mwamba alivyoimenya ndizi, kaikwangua imekua nyeupe na kaipasua kitaalamu 😀😀 huyu jamaa akioa niiteni mbwa niko apa nimekaa.😂 huwa napika sana ila hiyo steji aliyofikia huyo jamaa hapana, kuna siku nimeletewa ndizi nikaona zisiaribike nizimenye, nikaenda kununua vile vifuko vya mia vinne nikavivaa, nilichonga mbili tu nikasema hii kazi hapana bora ziive nitazila mbivu.
Hana hata mpango huo wa kuoa, waoaji hawamenyagi ndizi 😂Mkuu mimi mwenyewe napika sana tu ila katika vitu vimenishinda ni ndizi. Naweza kusema hicho ndio chakula ambacho hata kupika sijawahi kujaribu kwasababu ya hiyo kazi ya kumenya. Sasa nikicheki jinsi mwamba alivyoimenya ndizi, kaikwangua imekua nyeupe na kaipasua kitaalamu 😀😀 huyu jamaa akioa niiteni mbwa niko apa nimekaa.
Wanamenyaga nini? 😂Hana hata mpango huo wa kuoa, waoaji hawamenyagi ndizi 😂
Mbona mambo madogo hayo 😂Mkuu mimi mwenyewe napika sana tu ila katika vitu vimenishinda ni ndizi. Naweza kusema hicho ndio chakula ambacho hata kupika sijawahi kujaribu kwasababu ya hiyo kazi ya kumenya. Sasa nikicheki jinsi mwamba alivyoimenya ndizi, kaikwangua imekua nyeupe na kaipasua kitaalamu 😀😀 huyu jamaa akioa niiteni mbwa niko apa nimekaa.
Na zikaharibika🙌🙌🙌 zikaiva
Duh 🙌Na zikaharibika
TundaWanamenyaga nini? 😂
Ungeweka Nazi natural mkuu, mbona unaishi mazingira mazuri natural Ila unatumia vifaa fake , mfano ilifaa utumie chungu kabisa sio sufuria,mwilko wa mbao jambo zuri, Ila usizidishe sana nyama hata kwa wiki mara moja inatosha red meatLeo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme
Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM
View attachment 3229480
Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa
View attachment 3229482
Nikamenya ndizi na kukata kabisa
View attachment 3229483
Baada ya nyama kuiva nikaitoa nikachanganya na ndizi kwenye sufuria kubwa nikaweka maji kidog tu ya kuivisha ndizi
View attachment 3229484
Baada ya hapo niliweka supu ile ya kwanza nilio itenga baada ya ndizi kuiva lakini
View attachment 3229486
Baada ya hapo nikachukua nazi na kuweka kidogo tu sikutumia yote
View attachment 3229487
Baada ya hapo kutokota vizur ilikuwa ivyo
View attachment 3229488
Nikaipua nakuweka kwenye poti mlo uhu sikutumia kabisa mafuta niite mchemsho wa ndizi ivyo
View attachment 3229489
Ndio ivyo ilikuwap
Sawa muhuniTunda
Nikae kabisa nakuna nazi Half american aje hapa anichekeUngeweka Nazi natural mkuu, mbona unaishi mazingira mazuri natural Ila unatumia vifaa fake , mfano ilifaa utumie chungu kabisa sio sufuria,mwilko wa mbao jambo zuri, Ila usizidishe sana nyama hata kwa wiki mara moja inatosha red meat
Kuna nazi wewe kama umeweza adi kumenya ndizi unadhani nazi uwezi kukuna?Nikae kabisa nakuna nazi Half american aje hapa anicheke
Iyo siwezi inabidi nikuone siku moja unakuna ndio nijifunze kupitia kwakoKuna nazi wewe kama umeweza adi kumenya ndizi unadhani nazi uwezi kukuna?
Sheikh mimi siwezi fikia hatua hiyo.Iyo siwezi inabidi nikuone siku moja unakuna ndio nijifunze kupitia kwako
Ushapita uko sioSheikh mimi siwezi fikia hatua hiyo.
Mchaka wokui?Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme
Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM
View attachment 3229480
Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa
View attachment 3229482
Nikamenya ndizi na kukata kabisa
View attachment 3229483
Baada ya nyama kuiva nikaitoa nikachanganya na ndizi kwenye sufuria kubwa nikaweka maji kidog tu ya kuivisha ndizi
View attachment 3229484
Baada ya hapo niliweka supu ile ya kwanza nilio itenga baada ya ndizi kuiva lakini
View attachment 3229486
Baada ya hapo nikachukua nazi na kuweka kidogo tu sikutumia yote
View attachment 3229487
Baada ya hapo kutokota vizur ilikuwa ivyo
View attachment 3229488
Nikaipua nakuweka kwenye poti mlo uhu sikutumia kabisa mafuta niite mchemsho wa ndizi ivyo
View attachment 3229489
Ndio ivyo ilikuwap