Mlo mwepesi wa haraka

Mlo mwepesi wa haraka

Amin amin nawaambia, mwanaume anayeweza kumenya ndizi na kuzipasua kabisa kama huyu, kuoa ni historia😄😄
😂 huwa napika sana ila hiyo steji aliyofikia huyo jamaa hapana, kuna siku nimeletewa ndizi nikaona zisiaribike nizimenye, nikaenda kununua vile vifuko vya mia vinne nikavivaa, nilichonga mbili tu nikasema hii kazi hapana bora ziive nitazila mbivu.
 
🙌🙌🙌 zikaiva
 
Mkuu mimi mwenyewe napika sana tu ila katika vitu vimenishinda ni ndizi. Naweza kusema hicho ndio chakula ambacho hata kupika sijawahi kujaribu kwasababu ya hiyo kazi ya kumenya. Sasa nikicheki jinsi mwamba alivyoimenya ndizi, kaikwangua imekua nyeupe na kaipasua kitaalamu 😀😀 huyu jamaa akioa niiteni mbwa niko apa nimekaa.
 
Hana hata mpango huo wa kuoa, waoaji hawamenyagi ndizi 😂
 
Mkuu mimi mwenyewe napika sana tu ila katika vitu vimenishinda ni ndizi. Naweza kusema hicho ndio chakula ambacho hata kupika sijawahi kujaribu kwasababu ya hiyo kazi ya kumenya. Sasa nikicheki jinsi mwamba alivyoimenya ndizi, kaikwangua imekua nyeupe na kaipasua kitaalamu 😀😀 huyu jamaa akioa niiteni mbwa niko apa nimekaa.
Mbona mambo madogo hayo 😂
 
Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme

Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM

View attachment 3229480
Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa

View attachment 3229482
Nikamenya ndizi na kukata kabisa

View attachment 3229483
Baada ya nyama kuiva nikaitoa nikachanganya na ndizi kwenye sufuria kubwa nikaweka maji kidog tu ya kuivisha ndizi
View attachment 3229484
Baada ya hapo niliweka supu ile ya kwanza nilio itenga baada ya ndizi kuiva lakini

View attachment 3229486
Baada ya hapo nikachukua nazi na kuweka kidogo tu sikutumia yote
View attachment 3229487
Baada ya hapo kutokota vizur ilikuwa ivyo

View attachment 3229488
Nikaipua nakuweka kwenye poti mlo uhu sikutumia kabisa mafuta niite mchemsho wa ndizi ivyo

View attachment 3229489
Ndio ivyo ilikuwap
Ungeweka Nazi natural mkuu, mbona unaishi mazingira mazuri natural Ila unatumia vifaa fake , mfano ilifaa utumie chungu kabisa sio sufuria,mwilko wa mbao jambo zuri, Ila usizidishe sana nyama hata kwa wiki mara moja inatosha red meat
 
Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme

Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM

View attachment 3229480
Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa

View attachment 3229482
Nikamenya ndizi na kukata kabisa

View attachment 3229483
Baada ya nyama kuiva nikaitoa nikachanganya na ndizi kwenye sufuria kubwa nikaweka maji kidog tu ya kuivisha ndizi
View attachment 3229484
Baada ya hapo niliweka supu ile ya kwanza nilio itenga baada ya ndizi kuiva lakini

View attachment 3229486
Baada ya hapo nikachukua nazi na kuweka kidogo tu sikutumia yote
View attachment 3229487
Baada ya hapo kutokota vizur ilikuwa ivyo

View attachment 3229488
Nikaipua nakuweka kwenye poti mlo uhu sikutumia kabisa mafuta niite mchemsho wa ndizi ivyo

View attachment 3229489
Ndio ivyo ilikuwap
Mchaka wokui?
 
Back
Top Bottom