Mlo mwepesi wa haraka

Mlo mwepesi wa haraka

Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme

Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM

View attachment 3229480
Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa

View attachment 3229482
Nikamenya ndizi na kukata kabisa

View attachment 3229483
Baada ya nyama kuiva nikaitoa nikachanganya na ndizi kwenye sufuria kubwa nikaweka maji kidog tu ya kuivisha ndizi
View attachment 3229484
Baada ya hapo niliweka supu ile ya kwanza nilio itenga baada ya ndizi kuiva lakini

View attachment 3229486
Baada ya hapo nikachukua nazi na kuweka kidogo tu sikutumia yote
View attachment 3229487
Baada ya hapo kutokota vizur ilikuwa ivyo

View attachment 3229488
Nikaipua nakuweka kwenye poti mlo uhu sikutumia kabisa mafuta niite mchemsho wa ndizi ivyo

View attachment 3229489
Ndio ivyo ilikuwap
Acha kuandika kipuuzi.Hayo maneno "af,bhana,ndiy ivo,ikaw p"
Huo ni upuuzi.Acha.Pepo likutoke.
 
Back
Top Bottom