Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Hyo ni kweli mkuu watu wanadanganyika na picha za kwenye movies na matangazo mbalimbali kwa hyo wanafikiri wahindi wote ni wazuri.
 
Yeap mbona nimesisitiza huko juu kuwa kila mtu na mtazamo wake na uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji kwangu mimi ndo nimeona hivyo na sijataka watu wengine waone hivyo pia
Heheh!

Duh,yaani wanawake wa kihindi ndio wanawake waliojaaliwa sura nzuri kuliko wote juu ya uso wa dunia???

Kweli kila macho huona vya kwake...
 
Kwahiyo ni fahari ya macho tu? Hakuna faida nyingine?
Chura fahari ya macho bibie,si tumeambiwa tuoe katika wanawake tunao wapenda,na katika kuwapenda pia tunawaapendea chura,acha kabisa.
 
Hahahahaa ni kweli mzee
 
Bro kam una nyota nzuri hamia kwa waarabu kwasababu waarabu hawana ule ubaguzi km wahindi na ni watu ambao ukiwafanyia wema wanaukumbuka miaka yote.
Muhindi mbaguzi hata akiwa masikini bro.
Wenyewe kwa wenyewe wanabaguana sijui km ww utawaweza.
Na mpk mzazi akubali ww black umuoe muhindi ni miracle.
Ila mwarabu hata kwa msaafu unaoa mkuu
Ukioa Muhindi jiandae ndugu zake kukubagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…