Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Hiyo ndio record ya dunia ilivyo mamangu, hao wahindi wengi tunawaona kwenye movies wametafutwa wale ambao wako afadhali tu lakini wengi wana sura, maumbo na harufu mbayaa.

Mie nimekaa India, yaani hata kwa mangumi siwezi kuoa muhindi aisee, never!!!
Hyo ni kweli mkuu watu wanadanganyika na picha za kwenye movies na matangazo mbalimbali kwa hyo wanafikiri wahindi wote ni wazuri.
 
Yeap mbona nimesisitiza huko juu kuwa kila mtu na mtazamo wake na uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji kwangu mimi ndo nimeona hivyo na sijataka watu wengine waone hivyo pia
Heheh!

Duh,yaani wanawake wa kihindi ndio wanawake waliojaaliwa sura nzuri kuliko wote juu ya uso wa dunia???

Kweli kila macho huona vya kwake...
 
Kwahiyo ni fahari ya macho tu? Hakuna faida nyingine?
Chura fahari ya macho bibie,si tumeambiwa tuoe katika wanawake tunao wapenda,na katika kuwapenda pia tunawaapendea chura,acha kabisa.
 
Hahahahaa ni kweli mzee
nasikia hata wale wa kwenye movies asilimia kubwa wamejiedit miili(yani baadhi wamefanya opereshen kurekebisha maungo yao). kwenye suala la uchafu pia nakuunga mkono, sehemu kubwa ya wahindi ni wachafu wachafu, nilisoma makala moja huko interior india ukitaka kuoa inatakiwa uonyeshe choo maana kule vyoo ni vya shida wengine wanajisaidia vichakani
 
CB06C543-7B94-4513-AA8C-2D4879309959-1859-00000373A8D75294.jpeg
 
Bravo maselaa,machalii na masistaa wa humu...

Niende kwenye mada

Katika watu waliotakiwa tuwe tumechanganya damu nao kisawasawa ni wahindi na wana miaka mingi tu hapa Tz ila cha ajabu idadi ya ndoa kati ya waafrika na wahindi ni chache mno ukinganisha na jamii nyingine mfano waarab

Ok sasa mlowahi kuwaoa,kudate au hata mahusiano na hawa wasichana hebu tiririkeni wakoje tuanze kujua mapema maana mzee wa totoz kuna mmoja nimemzimikia balaa nataka niingie kwake mzima mzima mtoto mashallah balaa...ila mlowahi kudate nao piteni hapa mtuambie wakoje
Bro kam una nyota nzuri hamia kwa waarabu kwasababu waarabu hawana ule ubaguzi km wahindi na ni watu ambao ukiwafanyia wema wanaukumbuka miaka yote.
Muhindi mbaguzi hata akiwa masikini bro.
Wenyewe kwa wenyewe wanabaguana sijui km ww utawaweza.
Na mpk mzazi akubali ww black umuoe muhindi ni miracle.
Ila mwarabu hata kwa msaafu unaoa mkuu
Ukioa Muhindi jiandae ndugu zake kukubagua
 
Back
Top Bottom