Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Asili ya uzuri wote duniani ni Africa tu ndo mana ukiona walatino wanaume lazima tunachanganyikiwa au whites achanganye na black zao lake hataree
 
Bravo maselaa,machalii na masistaa wa humu...

Niende kwenye mada

Katika watu waliotakiwa tuwe tumechanganya damu nao kisawasawa ni wahindi na wana miaka mingi tu hapa Tz ila cha ajabu idadi ya ndoa kati ya waafrika na wahindi ni chache mno ukinganisha na jamii nyingine mfano waarab

Ok sasa mlowahi kuwaoa,kudate au hata mahusiano na hawa wasichana hebu tiririkeni wakoje tuanze kujua mapema maana mzee wa totoz kuna mmoja nimemzimikia balaa nataka niingie kwake mzima mzima mtoto mashallah balaa...ila mlowahi kudate nao piteni hapa mtuambie wakoje
Soma weee soma kitabu Soma weee. Binadamu joto ni 37 wote duniani ikipungua au kuzidi ni mgonjwaj
 
Nimekaa nao India sijawahi wapenda na hawakuwahi nipenda
 
Kwanza nilikuuliza makalio yana faida gani ukasema fahari ya macho nikakuuliza sababu ndo hiyo tu ukasema nafsi inafurahika

Kwani mimi nilipokuuliza hayo maswali wewe ulielewa nini hebu tuanzie hapo kwanza
Niliposema hujanielewa nilimaanisha na unaonekana unapoteza kumbukumbu kila nukta na unaleta nukta mpya kila ukijibiwa.Ndio maana nakusihi uwe unaelewa kwanza kabla ya kuhoji.

Niliposema tumeambiwa tuoe katika wale tunao wapenda huu ndio msingi,hapa hatujadili matokeo kwani hata wale ambao wameoa wanawake wasio kuwa na makalio ndoa zao zina matatizo vile vile.

Uliposema kwamba "kila ukiona makalio......" huu ufahamu ni ufahamu wako mbaya,ukirejea nukta yangu ya mwanzo kabisa na ungekuwa makini hii kauli usingeisema kwa sababu niliongelea suala la ndoa na kuoa mwanamke unae mpenda,kwahiyo hapa umetoa hoja hewa inayoashiria hukuelewa hoja yangu.


Huu mwendo umeshakuachabali sana japo nilianza na wewe taratibu tena kwa upole wa kupigiwa mfano mwisho ukaiacha njia ukaifata njia yako mwenyewe.

Sasa nakupa kazi tena urejee kule nilikoanzia kisha utaona wapi hujaelewa.
 
Kwanza nilikuuliza makalio yana faida gani ukasema fahari ya macho nikakuuliza sababu ndo hiyo tu ukasema nafsi inafurahika

Kwani mimi nilipokuuliza hayo maswali wewe ulielewa nini hebu tuanzie hapo kwanza

Sisi huwa tunasema hivi "Kuliweka wazi jambo ambalo liko wazi ni tatizo au ni kuzua tatizo".

Nikisema hunielewi au unapoteza kumbukumbu ujue sikudhulumu,swali ulilo liuliza sasa hivi muda wake umepita yaani ulitakiwa uulize huko mwanzo kabisa na ungeanza hivi "Hivi unaelewa nini ...."

Inabidi kufundishe namna ya kusoma hoja na kuzielewa,nilikupa ufafanuzi juu ya kufurahika,nikasema kufurahika hufata baada ya kutanguliwa na kuona au mfabo wake,yaani kufurahika na kuona havitengani,kufurahika ni mtaokeo ya kuona kile unacho kipenda. Sasa unapojaribu kuvitenganisha vitu ambavyo ni muhali unakuwa unatumia vibaya akili.

Ndio maana nikakusihi urejee nilicho kiandika na ukielewe. Nafsi kufurahika sikuitaja kuwa ndio sababu bali nilikupa ufafanuzi baada ya wewe kutoelewa nilicho kiandika. Fahari ya macho ni macho kufutiwa sanjari na kujivunia akionacho na huambatana na furaha.

Sasa unapo taka tuanzie hapo tena unakuwa unalazimisha jambo ambalo halina haja ya kukianzisha tena sababu liko wazi na unachotakiwa wewe ni kutuliza akili tu ili ulielewe.
 
Bro kam una nyota nzuri hamia kwa waarabu kwasababu waarabu hawana ule ubaguzi km wahindi na ni watu ambao ukiwafanyia wema wanaukumbuka miaka yote.
Muhindi mbaguzi hata akiwa masikini bro.
Wenyewe kwa wenyewe wanabaguana sijui km ww utawaweza.
Na mpk mzazi akubali ww black umuoe muhindi ni miracle.
Ila mwarabu hata kwa msaafu unaoa mkuu
Ukioa Muhindi jiandae ndugu zake kukubagua
Well said kaka
 
Wana wivu sana,wachafu. Baada ya shughuli hata hawajifuti. Jihadhari,ndugu zake wakijua umekula papuchi,wasiojulikana watakushughulikia.
Mh broo kwenye uchafu hapo hao wahindi wa kusini nini ???!!!
Maana navyowajua mm huwa wanapenda kushine aisee had kope wanasugua na brush.
Ila wana kiharufu cha asili kinakera kinyamma.
 
Hivi chura huwa inasaidia nini?
From my Personal Expirience Ina leta munkari sio kidogo usione wengine wanawai kurudi kwenye Game after each round iyo ni moja wapo ya pushing factor...then ni moja ya ishara kuwa niko na "Toto"
 
From my Personal Expirience Ina leta munkari sio kidogo usione wengine wanawai kurudi kwenye Game after each round iyo ni moja wapo ya pushing factor...then ni moja ya ishara kuwa niko na "Toto"
Bro pulling factor aisse yan sio ndogo ni kubwa.
Usipime huku unaupiga piga ule msambwandaa unaweza jihisi umepanda farasi
 
We lazima ni muarabu[emoji87]
Mmh bro mm ni benadir.
Lakn hao watu nimeishi nao kwasababu ukoo wetu umechanganyika nao.
Nina ndugu yangu mnyamwez kaoa kwa msahafu tu tena mwarabu wa Yemen mzuri ukimwangalia tu unadinda kaka hawanaga hiyana wale.
 
Hiyo ndio record ya dunia ilivyo mamangu, hao wahindi wengi tunawaona kwenye movies wametafutwa wale ambao wako afadhali tu lakini wengi wana sura, maumbo na harufu mbayaa.

Mie nimekaa India, yaani hata kwa mangumi siwezi kuoa muhindi aisee, never!!!
Mkuu labda ulikaa mkoa mmoja ukatulia.
Ila bro unapozungumzia asili ya kihindi hakuna watu wazury km wale isipokuwa umaskini unawazonga kiukweli.
Embu siku katembee pale Shaban Robert pita shule ya Yemen uwakute bro.
Ni wazury kiukweli ila wakiwa kwao umaskin mwingi huwafanya washindwe kuwa vzury.
Lakn ukienda tena India brooo nakuomba ukafanye tafiti maeneo ya Gujarat,Delhi penyewe,Na south part of India naskiaga hiz sehem zinasifika kwa watoto wazuri.
Kwa mtazamo wangu maana mm nilosoma nao nilikua nawaona malaika wameshushwa mfano huyo wa chini alonichomesha maindi na kunilisha mavi kwa kijiko
FB_IMG_15649588219260144.jpeg
 
Nimeishi Mumbai/Bombay, New Delhi na Tamil nardo.

Nawajua in and out. Na jambo la nyongeza kuhusu wahindi, ni washamba kupita maelezo.

Wahindi walokuwa afadhali kiduchu ni wale walopanda ndege tu yaani waishio nje ya India.
Mkuu labda ulikaa mkoa mmoja ukatulia.
Ila bro unapozungumzia asili ya kihindi hakuna watu wazury km wale isipokuwa umaskini unawazonga kiukweli.
Embu siku katembee pale Shaban Robert pita shule ya Yemen uwakute bro.
Ni wazury kiukweli ila wakiwa kwao umaskin mwingi huwafanya washindwe kuwa vzury.
Lakn ukienda tena India brooo nakuomba ukafanye tafiti maeneo ya Gujarat,Delhi penyewe,Na south part of India naskiaga hiz sehem zinasifika kwa watoto wazuri.
Kwa mtazamo wangu maana mm nilosoma nao nilikua nawaona malaika wameshushwa mfano huyo wa chini alonichomesha maindi na kunilisha mavi kwa kijikoView attachment 1172569
 
Back
Top Bottom