Mkuu labda ulikaa mkoa mmoja ukatulia.
Ila bro unapozungumzia asili ya kihindi hakuna watu wazury km wale isipokuwa umaskini unawazonga kiukweli.
Embu siku katembee pale Shaban Robert pita shule ya Yemen uwakute bro.
Ni wazury kiukweli ila wakiwa kwao umaskin mwingi huwafanya washindwe kuwa vzury.
Lakn ukienda tena India brooo nakuomba ukafanye tafiti maeneo ya Gujarat,Delhi penyewe,Na south part of India naskiaga hiz sehem zinasifika kwa watoto wazuri.
Kwa mtazamo wangu maana mm nilosoma nao nilikua nawaona malaika wameshushwa mfano huyo wa chini alonichomesha maindi na kunilisha mavi kwa kijiko
View attachment 1172569