Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Unasemaje wewe???huwajui labda au umewaona wachache maana kwenye kila production hakukulosekani reject
Kwani uongo mkuu??hawana kitu wako kama wadudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje wewe???huwajui labda au umewaona wachache maana kwenye kila production hakukulosekani reject
Dahh 😂😂 mkuu hata kama ila hapa umezidisha..kama wadudu? Ahahahah.Kwani uongo mkuu??hawana kitu wako kama wadudu
Mmh wananuka mavi au papuchi? Ndivyo walivyo au?Siwezi kudate na mademu wa kihindi wachafu sana wananuka mavi sana hao
Si kweliWhites are not human being, they are hybrid of human and demons
Mbena mwenzangu uliniangusha,ilibidi mtoto atafunwe na kitambi chake.Kipindi kile cha kitafuta marafiki kwenye gazeti nikatuma namba Yangu kwenye gazeti la majira.
Mungu si Athumani jioni ya siku ambayo gazeti limetoka nikapigiwa simu na binti akajitambulisha anaitwa Shainur Sumra nikamuuliza ,wewe ni mwarabu akasema hapana Bali ni Muhindi aliyezaliwa Tanga na hata huko India hapajui.Na yeye alipoona jina langu akadhani Mimi ni mhindi ila nilipomwambia Mimi ni mbena tena wa Njombe huku.
Dah nikaona zali tukachati baadae tukaingia kwenye mahusiano bila kuonana huku nikivuta taswira ya mrembo amazing .
Siku ya kuonana sitoisahau maana tulikutana posta pale J.M.MALL kuna casino inaitwa Le grand . Nilitamani muda uende ili tuachane kila mtu aende zake maana mtoto wa kike ana kitambi hata Mzee Kilomoni wa Simba ana afadhali.
Alipoondoka tu nilimblock na sikumuhitaji mpaka Leo sijui alinichukuliaje lakini yeye alikuwa anapiga hesabu za ndoa.
Dahh [emoji23][emoji23] mkuu hata kama ila hapa umezidisha..kama wadudu? Ahahahah.
Aio kwel bwana.
Nimekulia mtaa wa Uhindini /Jamat street hapa Iringa brother wapo wahindi ni pini kali hatar hatar.
Wewe hao unaowazungumzia ni wamama wameshazaa wamechoka choka
AhahaHuko iringa nakufahamu vzr kabisaaaaaa sjawahi ona hao pisi kali za kihindi hapo jamatini
akina shilole wanabakwa wakienda kuchota maji muhindi gani huyo jamanAcheni kuhangaika na wahindi koko,karibuni singida hamtajutia
Hizi white race zimenipitia kushoto niliwahi kudate na mmanga tu nae tukajamwagana .ila ukinikuta na heka heka za uswahilini sasa utachoka sijui wana nini. Nisamehe mpenzi mkewangu
Muarabu wa OmaniMmanga Ndio yupoje?
🤮🤮🤮🤮Wabaridi na wanakiarufu flani hivi cha asili kinabore kichizi