Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Kwani uongo mkuu??hawana kitu wako kama wadudu
Dahh 😂😂 mkuu hata kama ila hapa umezidisha..kama wadudu? Ahahahah.
Aio kwel bwana.
Nimekulia mtaa wa Uhindini /Jamat street hapa Iringa brother wapo wahindi ni pini kali hatar hatar.
Wewe hao unaowazungumzia ni wamama wameshazaa wamechoka choka
 
Kipindi kile cha kitafuta marafiki kwenye gazeti nikatuma namba Yangu kwenye gazeti la majira.

Mungu si Athumani jioni ya siku ambayo gazeti limetoka nikapigiwa simu na binti akajitambulisha anaitwa Shainur Sumra nikamuuliza ,wewe ni mwarabu akasema hapana Bali ni Muhindi aliyezaliwa Tanga na hata huko India hapajui.Na yeye alipoona jina langu akadhani Mimi ni mhindi ila nilipomwambia Mimi ni mbena tena wa Njombe huku.

Dah nikaona zali tukachati baadae tukaingia kwenye mahusiano bila kuonana huku nikivuta taswira ya mrembo amazing .

Siku ya kuonana sitoisahau maana tulikutana posta pale J.M.MALL kuna casino inaitwa Le grand . Nilitamani muda uende ili tuachane kila mtu aende zake maana mtoto wa kike ana kitambi hata Mzee Kilomoni wa Simba ana afadhali.

Alipoondoka tu nilimblock na sikumuhitaji mpaka Leo sijui alinichukuliaje lakini yeye alikuwa anapiga hesabu za ndoa.
Mbena mwenzangu uliniangusha,ilibidi mtoto atafunwe na kitambi chake.
 
Dahh [emoji23][emoji23] mkuu hata kama ila hapa umezidisha..kama wadudu? Ahahahah.
Aio kwel bwana.
Nimekulia mtaa wa Uhindini /Jamat street hapa Iringa brother wapo wahindi ni pini kali hatar hatar.
Wewe hao unaowazungumzia ni wamama wameshazaa wamechoka choka

Huko iringa nakufahamu vzr kabisaaaaaa sjawahi ona hao pisi kali za kihindi hapo jamatini
 
Mkipata pesa pitieni kwenye kasino nyingi za dar utawakuta ngozi nyeupe wenye muonekano na wasiobagua ila

Huko mtaani mtaishia kukutana na ngozi nyeupe wenye vitambi na ubaguzi juu.

Uko wapi Naira , uliijaza CV yangu kwa mambo adimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi white race zimenipitia kushoto niliwahi kudate na mmanga tu nae tukajamwagana .ila ukinikuta na heka heka za uswahilini sasa utachoka sijui wana nini. Nisamehe mpenzi mkewangu
 
Rangi nyeupe kwa ubaguzi ni [emoji91].

Nimewahi kua kwenye mahusiano na mtoto wa kihindi enzi hizo nikiwa advance school, mtoto tulikutana library moja hivi ya kihindi ipo Mwanza maeneo karibu na Mwanza hotel.

Kiukweli mtoto alikua mkali lakini sijui niseme alikua hajui mavitu au nini ila kiukweli alinifanya nisiwatamani tena,
wapili nimekutana nae ukubwani kwenye course fulani hivi ya kuendeleza ujuzi naye akapuyanga tu na hapo nikaapa kabisa mimi nitaendela kula hawa wadigo, wazaramu na wadengeleko tu(Buntu ladies) hao wengine labda niwe nimezidiwa.

Note: nilishawahi kula papuchi za waarabu na wazungu lakini pia hazikuninogea na niliona zimepoa sana hazina joto joto nililozoea kama hizi za kina mwajuma ndala ndefu.

Bantu ladies wanajua kutufurahisha na siku zote watakua juu kileleni.[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi white race zimenipitia kushoto niliwahi kudate na mmanga tu nae tukajamwagana .ila ukinikuta na heka heka za uswahilini sasa utachoka sijui wana nini. Nisamehe mpenzi mkewangu

Mmanga Ndio yupoje?
 
Back
Top Bottom