Daaah hii imenikumbusha mbali miaka ya 2009 ndugu yangu alikuwa mpiga soka sana kwenye viwanja vya jimkana ndo akakutana na mtoto wa kidosi aisee baada ya wazazi wake kujua uwezi amini alipandishwa ndege ila waliendelea kuwa na mawasiliano hadi baadae ndo ivyo kupotezana mazima