Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yalikuwa mengi kipenzi,ila tupo pamojaMbona adimu Sana?
Kwahiyo hta mtu akiwa kwenye open toilets huwa mwawaona?Nikipanda domestic mm jicho huwa chini all the time maana huwa haziruki juu sana. Ila ukipanda ndege international huwa nimelala mda mwingi maana haina maana kuchungulia coz hauoni kitu huwa naona blue tu chini
Kwa kawaida huwezi ukaona kitu ukakitambua labda mito mikubwa, milima, mabwawa, maziwa ndo unaweza kukujulisha sasa upo singida maana singidani huwa linaonekana, manyara pia lile ziwa huwa linaonekana, kilimanjaro mlima huwa unaonekanaKwahiyo hta mtu akiwa kwenye open toilets huwa mwawaona?