Ukiwa mpiga chabo kunakuwa na vitu Vingi sana unawaza! Na unaweza kudhani watu Fulani wanafaidi. Mkuu ni rahisi kuona Majengo na vitu vyengine ardhini kama gari,mito,maziwa,bahari ambavyo vinachukua nafasi kubwa lakini so rahisi kumuona MTU aliye choo cha wazi anakoga kwani mwendo wa ndege ni wa kasi. Inafika kipindi hata meli inayobeba kontena 3000 unaiona kama kibiriti ndege inapokuwa kwenye mruko wa anga za juu au usiitambue kama ni meli ikiwa imesimama ila ikiwa inatembea ni rahisi kuona Yale mawimbi meupe inapopita