Mlowahi kupanda ndege hamuwachunguliagi walioko chini?

Mlowahi kupanda ndege hamuwachunguliagi walioko chini?

Ukiwa mpiga chabo kunakuwa na vitu Vingi sana unawaza! Na unaweza kudhani watu Fulani wanafaidi. Mkuu ni rahisi kuona Majengo na vitu vyengine ardhini kama gari,mito,maziwa,bahari ambavyo vinachukua nafasi kubwa lakini so rahisi kumuona MTU aliye choo cha wazi anakoga kwani mwendo wa ndege ni wa kasi. Inafika kipindi hata meli inayobeba kontena 3000 unaiona kama kibiriti ndege inapokuwa kwenye mruko wa anga za juu au usiitambue kama ni meli ikiwa imesimama ila ikiwa inatembea ni rahisi kuona Yale mawimbi meupe inapopita
 
Nikipanda domestic mm jicho huwa chini all the time maana huwa haziruki juu sana. Ila ukipanda ndege international huwa nimelala mda mwingi maana haina maana kuchungulia coz hauoni kitu huwa naona blue tu chini
 
Kwahiyo hta mtu akiwa kwenye open toilets huwa mwawaona?
 
Kwahiyo hta mtu akiwa kwenye open toilets huwa mwawaona?
Kwa kawaida huwezi ukaona kitu ukakitambua labda mito mikubwa, milima, mabwawa, maziwa ndo unaweza kukujulisha sasa upo singida maana singidani huwa linaonekana, manyara pia lile ziwa huwa linaonekana, kilimanjaro mlima huwa unaonekana
 
Back
Top Bottom