Mlowahi kupanda ndege hamuwachunguliagi walioko chini?

Mlowahi kupanda ndege hamuwachunguliagi walioko chini?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,

Binafsi sijawahi kwea pipa, so kuna maswali najiulizaga sana, hivi mtu akiwa angani na ndege huwa wanaona kila kitu kilichoko chini?

Kwenye basi huwa tunaona sana vitu vilivyopo chini, je kwenye ndege si ndo full kuchungulia!, hata kwa wale wenye vyo open kwa juu si ndo ndo full kuchunguliwa!

Tiririkeni bila ya kuja na povu wazee.

By

Young

Dimaa.
 
Kuna vitu vinaonekana na kuna vitu havionekani kufuatana na umbali ndege ilipo kutoka ardhini. Na Kama ipo karibu watu wanaonekana. Na majumba barabara. Kila kitu unakiona kutoka juu.
 
Nimejikuta nachekaa sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha yenyewe ndo haya haya bidi tuburudishane siku moja moja
 
Kuna vitu vinaonekana na kuna vitu havionekani kufuatana na umbali ndege ilipo kutoka ardhini. Na Kama ipo karibu watu wanaonekana. Na majumba barabara. Kila kitu unakiona kutoka juu.
Sawa mkuu
 
Ndege ikiwa angani halafu mtu akifungua dirisha na akatoa kchwa nje kuchungulia chin ataweza kuona kila kitu
 
Ndege ikiwa angani halafu mtu akifungua dirisha na akatoa kchwa nje kuchungulia chin ataweza kuona kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ngoja niwasubiri wakuje,labda walishaniona wakiwa huko mbinguni!!
 
Back
Top Bottom