Mm ni kilaza lakini Nchimbi yupo lockdown hata barua hakuandika yeye (hii ni nimeipata sehemu)

Mm ni kilaza lakini Nchimbi yupo lockdown hata barua hakuandika yeye (hii ni nimeipata sehemu)

Kesho utamuona live akikabidhi ofisi pale dodoma
 
Inasemekana watamuua tarehe 2
Kujua Kila Kitu Chao=Kifo..
Ni vita Kali sana kama Ya -Msukule kutoroka Gamboshi Ya Simiyu na kurudi Kijijini kabla Wachawi hawajamkata kijisehemu Cha ulimi ashindwe kuongea...ni hatari..ajali za watu kugongwa na Fisi zitaongezeka sana maana watakuwa wamesambazwa wengi kubeba vikosi maalumu vya kumsaka Mtoro asije akazagaza siri.
Hata JF inaweza isikatize kwenye hili sakata...kuna kupigwa 📌 pin tena...
 
Back
Top Bottom