Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Mm kivyangu najua watoto ndio wa maana katika maisha.mke hapana ataukifa saiv anaolewa tena.
Huduma zote natoaUnawanyima watoto kulelewa na wazazi wao, yaani wewe na mama yao, umewapeleka kwa bibi yao.
Usijisifu kwa hilo hata kidogo. Kama uwezo wa kulea huna kuna option ya kutozaa.
Wewe ulilelewa na bibi?Huduma zote natoa
Kipi ni rahisi zaidi kupata kati ya mke au/na mtoto?Mm kivyangu najua watoto ndio wa maana katika maisha.mke hapana ataukifa saiv anaolewa tena.
Huduma zote unatoa?Una uhakika?Unafahamu hata uwepo wako katika familia/kuishi nao nayo ni huduma kubwa zaidi ya kutuma hela pekee?Huduma zote natoa
Ichi kitu hata mimi nime noticeID mpya ndio zinaongoza ku post upuuzi
Watoto na mke ni set moja ni kama tu pande mbili za coin mojawatoto ndio wa maana katika maisha.
Huna akili ya kuishi na mwanamke ndio maana unaona ni usumbufuWote wawili wapo kwa mama anawalea.sitaki usumbufu na mtu.
Mke hana uchungu naweKipi ni rahisi zaidi kupata kati ya mke au/na mtoto?
Umelielewa swali?Mke hana uchungu nawe
bibi kule uganda amenielea toka tangu nikiwa mdogo nimekuja kuzoeana na wazazi ukubwaniWewe ulilelewa na bibi?
Na JF wanaruhusu(entertain)ujinga sababu ya engagement farming hakuna tena Platform quality assurance curation,.Ichi kitu hata mimi nime notice
Mnajiendekeza tuu sisi tumelelewa almost wajukuu 6 na bibi yetu mmoja Tena single one na hakukuwa na shida ya bond Kati yetu na wazazi wetu, bro kama unahisi mtoto akilelewa na bibi yake na ukakosa bond baina yake na yako basi mzazi haukuwa tayari kuwa na huyo mtotoNgoja niiweke namna hii....
Kuna vitu vijana mnachanganya sana kati ya Kuhudumia watoto na Malezi ya watoto.
Kimsingi vijana mnadanganyika sana pindi mnapo peleka watoto wenu wakalelewe na mama zenu, pia hawawezi lelewa kwa misingi na tabia unazotaka wewe na hili ni kosa kubwa sana kwenye malezi. Sababu watoto wako watalelewa sio kama unavyo taka wewe na utapoteza bond kati yako na watoto wako.
Mama yako atakubali kuwalea kwasababu utakua unampa fedha kwaajili ya mahitaji na kumbuka kwamba, hata hiyo fedha unayoita huduma haito wahudumia wanao kwa 100% kama unavyo tamani iwe.
Mkuu, usije hamisha chuki ya mzazi mwezio ikapelekea watoto wako wakose malezi.
Ukishindwa kuwalea watoto wako basi waache walelewe na mama yao.
Inasikitisha kuona mwanaume anaamini akitoa pesa amekamilisha maleziMm kivyangu najua watoto ndio wa maana katika maisha.mke hapana ataukifa saiv anaolewa tena.
Maji hufuata mkondo!! It's a chain, kuivunja ni ngumi mno.bibi kule uganda amenielea toka tangu nikiwa mdogo nimekuja kuzoeana na wazazi ukubwani