Mm sijaoa ila tayari mm ni baba wa watoto wawili.

Mm sijaoa ila tayari mm ni baba wa watoto wawili.

Mnajiendekeza tuu sisi tumelelewa almost wajukuu 6 na bibi yetu mmoja Tena single one na hakukuwa na shida ya bond Kati yetu na wazazi wetu, bro kama unahisi mtoto akilelewa na bibi yake na ukakosa bond baina yake na yako basi mzazi haukuwa tayari kuwa na huyo mtoto
Ujionavyo wewe nafsini mwako ndivyo ulivyo
Ila ulimwengu unakukumbusha kujua chochote ulichokipanda kama mbegu kwenye ardhi kinahitaji uangalizi wako kupata mazao unayotarajia vinginevyo magugu yakishamili utavuna pia
 
As long as nimekulia katika maadili mema ambayo ni malezi kutoka kwa bibi yangu yes nisawa kulelewa na mabibi ila namjua Kuna neg na pos impacts
 
Mtoto wako kuelewawa na mtu mwingine ni upumbavu wa kiwango kikubwa mno kama ugali hai.

Kama hujajiandaa kulea usizae kabisa. Kiumbe utakachokileta duniani lazima ukiwajibikie.
 
Afu badae unawananga singo maza, na unataka kuoa bikra! 😁
 
Wote wawili wapo kwa mama anawalea.sitaki usumbufu na mtu.
Yaani mama yako amekulea wewe mpaka umekua, leo unampekea na watoto wako alee, atapumzika lini, muwe mnawahurumia wazee wanu. Huo upuuzi ndio naukataa silei mjukuu mie
 
Kuzaa watoto halafu kuwapeleka kwa wazazi wako ni upumbavu na sio jambo la kujisifia
 
Back
Top Bottom