Ujionavyo wewe nafsini mwako ndivyo ulivyoMnajiendekeza tuu sisi tumelelewa almost wajukuu 6 na bibi yetu mmoja Tena single one na hakukuwa na shida ya bond Kati yetu na wazazi wetu, bro kama unahisi mtoto akilelewa na bibi yake na ukakosa bond baina yake na yako basi mzazi haukuwa tayari kuwa na huyo mtoto
As long as nimekulia katika maadili mema ambayo ni malezi kutoka kwa bibi yangu yes nisawa kulelewa na mabibi ila namjua Kuna neg na pos impactsUjionavyo wewe nafsini mwako ndivyo ulivyo
Ila ulimwengu unakukumbusha kujua chochote ulichokipanda kama mbegu kwenye ardhi kinahitaji uangalizi wako kupata mazao unayotarajia vinginevyo magugu yakishamili utavuna pia
ko bibi ako alikulea akiwa single mama ?? na vipi kuhusu mama ako n single mama??bibi kule uganda amenielea toka tangu nikiwa mdogo nimekuja kuzoeana na wazazi ukubwani
Akisema hivo inamuathiri Nini mtoto??Ukipelekwa ukweni ukakuta bibi anaishi na wajukuu hapo usioe Wala kuolewa,
Maana Huwa wanaambiwa muache aende watoto niletee Mimi niwalee.
Ukipelekwa ukweni ukakuta bibi anaishi na wajukuu hapo usioe Wala kuolewa,
Maana Huwa wanaambiwa muache aende watoto niletee Mimi niwalee.
Kuna shida mtu kuwa singo mama au singo babako bibi ako alikulea akiwa single mama ?? na vipi kuhusu mama ako n single mama??
Wachaaa weeeeWote wawili wapo kwa mama anawalea.sitaki usumbufu na mtu.
Yaani mama yako amekulea wewe mpaka umekua, leo unampekea na watoto wako alee, atapumzika lini, muwe mnawahurumia wazee wanu. Huo upuuzi ndio naukataa silei mjukuu mieWote wawili wapo kwa mama anawalea.sitaki usumbufu na mtu.
Aibu tutaona sisi 😀Wote wawili wapo kwa mama anawalea.sitaki usumbufu na mtu.
Kwa hiyo mama yako ni single mother tayari na usingle wake kasababishiwa na toto lake malaya malaya kama wewe?Wote wawili wapo kwa mama anawalea.