Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ndio wamewateneza umasiki?MaCHADEMA muwe na fungu la kuwalipa machinga wanaoacha shughuli zao na kuandamana.
Ujumbe ndio huo kama huelewi.
Yupo ofisini hapo na analipwa mshahara toka kwenye kodi zetu 🤣🤣🤣Alivonyoa unajua yupo kazini
Tutawanyoosha sukuma gang hadi mbakie kama sindanoMkuu mbona CHADEMA mkono na sera kibirika, watafutieni chinga njulugu, wataandamana hadi kwa mkweo!
Una uhakika ni machinga au ni teja fulani kapewa unga na chawa wa huyo mdubai!Fuatilia michango yangu, mi SKM Gang, lakini kubali argument ya huyo machinga.
Oyaa....lete mifweza ya Ubelgiji tukaandamane!Tutawanyoosha sukuma gang hadi mbakie kama sindano
wabongo hawaaminiki kiivo...uyu ukimwita pembeni umwulize vizuri utasikia,,,bro njaa tu hiz kimtindo mi mwenyewe naunga mkono halakatiView attachment 2746305
Du...mmachinga kamaliza!
Machinga wengine ni waelewa, kuna graduates mle!
Hongera mmachinga, tumekuelewa!
Si unamuona?Una uhakika ni machinga au ni teja fulani kapewa unga na chawa wa huyo mdubai!
Kwa hiyo tuwaachie wauze kila kitu kisa tunaogopa kuimizwa?Fuatilia michango yangu, mi SKM Gang, lakini kubali argument ya huyo machinga.
Hata mimi naona hivyoMachinga wa mchongo huyu
Maandamano yataanzia Tweeter street yataelekea barabara ya Facebook kisha njia panda ya Instagram na kuhitimishwa kwny ma Group ya Wasap ya Makamanda
Sukuma gang safari hii tutawaminya vya kutoshaOyaa....lete mifweza ya Ubelgiji tukaandamane!
Toeni mkwanja huo....watu waandamane!Sukuma gang safari hii tutawaminya vya kutosha
Inajirudia hii kutoka kwa muuza Mahindi kwa Jiwe pale Dumila.Hata mimi naona hivyo
Sukuma gang ndiyo wanapanga kuandamana ili kumbuka mjomba waoToeni mkwanja huo....watu waandamane!
Mkuu basi tanguliza lile toto lako ndembwe ndembwe, mi nitaandamana naloSukuma gang ndiyo wanapanga kuandamana ili kumbuka mjomba wao
Morphology na power yake amekaa kama camouflage wa usalama huyu sio mmachinga ni "mmachinga"