Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Sep 12, 2023 Thread starter #61 ras jeff kapita said: Jamaa linaongea kwa mijazba lipuuzi kabisa. Linaongea mpaka msuli wake wa tko umekaza halijielewi Click to expand... Ni kwa sababu weye tako lako linkula kiyoyozi, habu ukose kzi na uende mitaani kutafuta mradi. Utakaza tu tako na wewe.
ras jeff kapita said: Jamaa linaongea kwa mijazba lipuuzi kabisa. Linaongea mpaka msuli wake wa tko umekaza halijielewi Click to expand... Ni kwa sababu weye tako lako linkula kiyoyozi, habu ukose kzi na uende mitaani kutafuta mradi. Utakaza tu tako na wewe.
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Sep 12, 2023 #62 USSR said: Wanaoandamana huwa ni malofa tu . USSR. Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app Click to expand... @USSR, Umehama lini Chadema. Ninini kilicho kuhamisha. Maana ulikuwa Chadema lialia garagaza. Au wewe ndio U-nasaria?
USSR said: Wanaoandamana huwa ni malofa tu . USSR. Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app Click to expand... @USSR, Umehama lini Chadema. Ninini kilicho kuhamisha. Maana ulikuwa Chadema lialia garagaza. Au wewe ndio U-nasaria?