Tetesi: Mmakonde na Sarah wameachana

Tetesi: Mmakonde na Sarah wameachana

Maskini ndio wanaongoza kwa roho za chuki dhidi ya waliofanikiwa, chunguza!
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.

Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .

Na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo demu mnapiga kelele ana hela ana hela hela gani acheni zenu nyinyi,Huko Italy katoka familia ya kikimbizi waarabu wa Moroko.
Kazi anayoendaga kufanya huko anajua mwenyewe
Sarah Michelotti jina la Kimorroco ??? kweli Mond kawafanya misukule nendeni kwa Gwajima khaaa
 
Kwa jins mambo yanavyomwendea mrama konde boy sitashangaa nikisikia huyo demu amemmkimbia , wapambe ni watu wabaya Sana, amebak kucheza twist tuu kijana wa watu
 
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.

Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .

Na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pilipili ya shamba yakuwashia nini ?
 
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.

Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .

Na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kachukue nafasi ya Sara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada atakua mwanamke bila shaka
Maana Harmo kamfunga mdomo na kumuacha uchi baada ya kuweka picha yuko na mkewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom