Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza Cha yule mama Ni aibu namba moja, mweeeMwana ni muongo muongo sana ila kwenye lugha tusameheane tu jamani, sio yetu hiyo.
Tusisahau amefanya inglish kozi kwa Ras Simba, ni kweli, hajamuelewa snoop, sasa afanyaje zaidi ya kujichekesha na Yes za kutingisha kichwa kuonesha wako pamoja.....sio mbaya kwa huyu, kuliko mwenye zamana yake ya elimu halafu anaongea mbele nyuma😀
Stress tupa kule, sibebi mizigo moyoni, maisha yenyewe matamu najaribu kuyarefusha zaidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
eti 'akiwa kwao marekani'!!! we bujibuji inaonekana uko free sana na stress.
Mbona kina Youssou N'dour hawanaga muda wa kujidai Wamarekani? Maujiko ya huyo dogo, tambo na mbwembwe zake yanamtengenezea maadui kila kukichaHahahahaha mambo mengine hayafai kuyaiga Mkuu wangu mwishowe unaonekana kituko.
Huwezi kumfurahisha binadamu, maadui waongezeke tu unawamaliza kwa mafanikio tu, ogopa MUNGU sio binadamuMbona kina Youssou N'dour hawanaga muda wa kujidai Wamarekani? Maujiko ya huyo dogo, tambo na mbwembwe zake yanamtengenezea maadui kila kukicha
Pengine hajaelewa sehemu ambayo kampa nondo nzurii ya kutoboaaa maisha 😀Mwana ni muongo muongo sana ila kwenye lugha tusameheane tu jamani, sio yetu hiyo.
Tusisahau amefanya inglish kozi kwa Ras Simba, ni kweli, hajamuelewa snoop, sasa afanyaje zaidi ya kujichekesha na Yes za kutingisha kichwa kuonesha wako pamoja.....sio mbaya kwa huyu, kuliko mwenye zamana yake ya elimu halafu anaongea mbele nyuma😀
Mwana ni muongo muongo sana ila kwenye lugha tusameheane tu jamani, sio yetu hiyo.