ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Aisee maza kingereza chake kipo chini mno duuh....English ni lugha matata sana kwa WanaCCM, ona waziri wa Elimu akichapa yai mbele ya kadamnasi. Halafu huyu ni professor
View attachment 1854058
Huyo ndiyo muelimishaji mkuu wa TaifaAisee maza kingereza chake kipo chini mno duuh....
BAK njoo ule lugha hukuEnglish ni lugha matata sana kwa WanaCCM, ona waziri wa Elimu akichapa yai mbele ya kadamnasi. Halafu huyu ni professor
View attachment 1854058
noma sana kwa kweli jama.....Huyo ndiyo muelimishaji mkuu wa Taifa
Safi kabisa!!Stress tupa kule, sibebi mizigo moyoni, maisha yenyewe matamu najaribu kuyarefusha zaidi
Acha dharau aisee heshimu waliotanguliaHahahaha 😂😂😆😂😂
magufuli mpya huyooo!!!
Mkuu Bujibuji ,acha kufananisha Youssou N'dour,Mori Kante,Fella Kuti, na vitu vya ajabu.Mbona kina Youssou N'dour hawanaga muda wa kujidai Wamarekani? Maujiko ya huyo dogo, tambo na mbwembwe zake yanamtengenezea maadui kila kukicha
Siku za mwanzo mwanzo wakati nimefika South Africa nilikuwa sisikii chochote kwenye tv ila watu nikiwa naongea nao ana kwa ana nawaelewa mpaka nikawa najishangaa how come kingereza cha kwenye tv sikielewi? ila baada ya muda atena ikanasa nikawa nasikia hata nikiwa chumbani na tv iko sebleni. Kiingereza huwezi kuwa fluent kama hujaishi na waongea kiingereza kama mother tongue kwao au first language kwao. So Diamond anajua maneno machache sana ya kingereza, ukimuweka kwenye mdahalo lazima maneno yote yamuishie.Ila kingereza ua chepes sana ukiwa unaongea pekeako ngoja usemeshwe sasa ndio unaishia na yeees yesss
Alikuwa na maongezi na management ya Boeing anataka kuleta private jetKawa mdogo kuliko alikiba
Daaaaah,ila huyu mwamba wa Tandale anaupiga mwingi mnoo,utafikiri alisoma Braeburn
Vile ukimsikia barack obama anaongea bas na ww kimoyo moyo unaongea kiingerza cha Barack Obama 😄ongea sasa usikike ndo utajua hujui😂😂😂Ila kingereza ua chepes sana ukiwa unaongea pekeako ngoja usemeshwe sasa ndio unaishia na yeees yesss