๐๐๐ Bora wewe umelijua hilo mapema hutohangaika na vitu vidogo km hivyo..Kuna mwanaume anatulia (ga)๐
Labada hanisi๐คฃ
Kama msichana ni under 18 kosa analo kama kamevuka 18 hongera kwake alifaidi.nadhan yeye hana kosa kabisa ....
Mkuu....Hii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?
Umeshaambiwa huyo Askari amefiwa na mumewe, huyo wanayemgombea ni hawara tu..Ndiyo nasisi tunataka kumuona huyo jamaa. Mpaka mkewe akatuma vijana wamtese binti wa watu, wakati angeweza kumuonya binti.
๐๐๐๐ Kumbe?!!Halafu inasemekana sio mume wake naskia huyo afande ni mjane...
Naye alikuwa ni hawara tu ni sawa mm na ww tukimgombea reree๐
Hahahaha๐๐๐ Bora wewe umelijua hilo mapema hutohangaika na vitu vidogo km hivyo..
Hakuna mtu anaweza kuangalia Channel moja kila siku ๐น
Itakuwa ni kibenteni kweli...๐๐๐๐๐ Kumbe?!!
Ila wajane nao jamani.!!
Basi itakuwa huyo bwana ni kibenten
Em waweke sura yake tuone,
Mara pap naye ni mme wa mtu mwingine ๐น
Huyo raraa mbona umempa kiki sana, utamfanya alale na Viatu leo lol!
๐๐๐ wapi simtank la lita 3000Itakuwa ni kibenteni kweli...๐
Mama nae shepu haishawish bas angetulia ..ila ona Sasa keshayabananga...
rere nimemkataza ku like Kila comment ๐คฃ๐คฃ
Nae si muda atapoa kama simtank..
Ila watu mna maneno ๐๐๐๐๐๐๐๐ wapi simtank la lita 3000
Unamuonea raraa bana muache atoe likes
Tatizo ana like Hadi matusi๐คฃ๐คฃ๐๐๐ wapi simtank la lita 3000
Unamuonea raraa bana muache atoe likes
Siyo kutakiwa kwa makosa, vidosho wana shida ya kumuona.nadhan yeye hana kosa kabisa ....
Akilia sasa km simtank linamwaga maji ๐คฃ๐คฃIla watu mna maneno ๐๐๐๐๐
Eti simtank๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Alifikaje gheto alitekwa!! Wengine hatujui hizo stori za daslam elezeeni vizuriUmeelewa ila unapindisha. Mke katuma vijana sababu binti anatembea na mumewe. Chanzo ni mume kumtongoza binti. Bila hilo kusingekuwa na haya yote. Elewa mada ndiyo utanielewa namimi.
๐๐๐ yule ana like had matusi anayotukanwa raraa kiboko.!Tatizo ana like Hadi matusi๐คฃ๐คฃ
Unajibu mitano Tena Kwa nani sijui jina nimemsahauHii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?
Huyo Baba hana kosa lolote.Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAkilia sasa km simtank linamwaga maji ๐คฃ๐คฃ
Kwa kupenda kususa sasa.!! Utashangaa likikasirika linajitupa chini ๐น๐น๐น
Dah DJ wetu Vincenzo Jr em Tupe ile ngoma ya zamani inayoimba ๐ถ ewe njiwa ewe njiwa, peleka salamu kwa yule kwa yule nimpendaye ๐
Huna baya tajiri, hukumu yako ya jehanamu apewe Poor Brain akafie nayo mbele huko
Naunga mkono hojaNmemis zile moments ๐ ht Uzi ungeachwa tuu ili tuwe tunachat tuu
wamekimbia wamepga kufuli tu ukipita kwaoHana kesi, and huyu mama nae hajaolewa na huyo jamaa mume wake alishafariki