The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
๐๐๐ TaratibuTumuone ndio maana libibi lingeweza hata kumuua yule Binti kisa huyo Mwamba sasa tumuone huyo Mwamba ana nini kimuonekano mpaka libibi lifanye hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ TaratibuTumuone ndio maana libibi lingeweza hata kumuua yule Binti kisa huyo Mwamba sasa tumuone huyo Mwamba ana nini kimuonekano mpaka libibi lifanye hivyo?
Ushaanza ๐Tajiri kwema Assalamualaikum
Tajiri hapingwi au siyo ๐Naunga mkono hoja tajiri jamaa na yeye akamatwe hawekwe ndani ndio Chanzo ya yote
Jamaa anatingisha tu mguu mke wake afungwe aendelee kufaidi totozPicha yake tunataka tumuone yule Bibi tumemuona sasa tumuone na muhusika Mkuu
Aliishafariki zamani!Tena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee.
Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?
Kwani Kutongoza limekuwa ni kosa kisheria? Au kukubaliwa ukitongoza pia limekuwa ni nikosa kisheria?Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Ndio ndio Cc Bantu LadyTajiri hapingwi au siyo ๐
Nmemis zile moments ๐ ht Uzi ungeachwa tuu ili tuwe tunachat tuuNdio ndio Cc Bantu Lady
Tutaanzisha xxxxxx team. Ngoja shemeji tutafanya jambo. Uwe uzi tu.Nmemis zile moments ๐ ht Uzi ungeachwa tuu ili tuwe tunachat tuu
Dah DJ wetu Vincenzo Jr em Tupe ile ngoma ya zamani inayoimba ๐ถ ewe njiwa ewe njiwa, peleka salamu kwa yule kwa yule nimpendaye ๐Tutaanzisha xxxxxx team. Ngoja shemeji tutafanya jambo. Uwe uzi tu.
Na wewe unataka kufanya naye nini?? ๐๐Tena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee.
Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke ni mjinga ilitakiwa adili na mumewe, je atafanyia wangapi vitendo km hivyo? Halafu unakuta mume mwenyewe hata hamuheshimu basi tu kujishaua.!Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Yy ndo source kwann hatulii na mke wake ๐นYeye anahusikaje hapo...??
Kuna mwanaume anatulia (ga)๐Yy ndo source kwann hatulii na mke wake ๐น
Mwanamke ni mjinga ilitakiwa adili na mumewe, je atafanyia wangapi vitendo km hivyo? Halafu unakuta mume mwenyewe hata hamuheshimu basi tu kujishaua.!
๐๐Mnataka kuijua familia nzima?