Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Huyo jamaa sio mume wa afande bali ni mchepuko tu.

Afande mshangazi ni single lady mwenye wivu kwa mchepuko wake kuhamishia mahaba kwa kabinti.

Mubaba hana ubaya kabisa, ye anawajibika tu kuwapelekea moto kina afande.
 
Back
Top Bottom