Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?
1724247785785.png

Nimekutana naye akielekea Buza.
 
Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Kwani Kutongoza limekuwa ni kosa kisheria? Au kukubaliwa ukitongoza pia limekuwa ni nikosa kisheria?
 
Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Mwanamke ni mjinga ilitakiwa adili na mumewe, je atafanyia wangapi vitendo km hivyo? Halafu unakuta mume mwenyewe hata hamuheshimu basi tu kujishaua.!
 
Halafu inasemekana sio mume wake naskia huyo afande ni mjane...
Naye alikuwa ni hawara tu ni sawa mm na ww tukimgombea reree๐Ÿ˜

Back
Top Bottom